Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenda uko....nyumba huanziwa na foundation 2010 alianza foundation yake ...danganya watz wenzako
So alianza na kua star hapo hapo game ya music tanzania ni gumu sana usifkiri ni kama unaenda sokoni hehe alikutana challenges kibao mpaka kujilikana na bado anaupinzani mkali sana kwenye soko la music tanzania
 
So alianza na kua star hapo hapo game ya music tanzania ni gumu sana usifkiri ni kama unaenda sokoni hehe alikutana challenges kibao mpaka kujilikana na bado anaupinzani mkali sana kwenye soko la music tanzania
Acha zako...danganya watz wajinga
 
Edit wewe basi 😀😀😀 ipike na hio
😛😛😛😛 Munataka vizuri vyote viwe kwenu hahahahha
Haha tafuta miwani brathe....kama uko na insurance enda ukabuy kesho
tapatalk_1521326191781.png
 
halafu wakenya wengi wa bara ni washamba sana, sidhani kama wanaelewa kitu kuhusu "biryani". wengi wamezoea kula githeri(makande).

Ukiwaona wenyewe wanavyosifia githeri na ukiwaambia wabongo hatupendi sana hayo makitu (nilikuwa "polite" tuu kwa kusema hivyo maana makande ni chakula cha hali ya chini sana Tanzania) wanashangaa sana.
 
Haha he is ashamed to be called Tanzanian... nai inamchanganya anadhani ako New yorkView attachment 718069

Haha diamond hataki kwao Nairobi iko moyoni mwake ..kwa album yake kuna ngoma ya reggae anasifia Kenya pekee...Tanzania anavumilia kuwa raia

Diamond kaikana Nchi yake ya Tanzania wishing He was born Kenyan? Chamoto
Lugha ya kibiashara tuu hiyo...he's hustling...hakuna mtazania mwenye akili anayeichukia nchi yake.
 
Ukiwaona wenyewe wanavyosifia githeri na ukiwaambia wabongo hatupendi sana hayo makitu (nilikuwa "polite" kwa kusema hivyo makande ni chakula cha hali ya chini sana Tanzania) wanashangaa sana.
Githeri INA nn
 
Back
Top Bottom