joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Why Kenya could be among failed statesWeka Picha ya SGR imetengenezwa na hiyo $3.1b ama hata hizo pesa ni renders kama ujenzi???
Funguo hiyo link utaona picha za SGR
Why Kenya could be among failed statesWeka Picha ya SGR imetengenezwa na hiyo $3.1b ama hata hizo pesa ni renders kama ujenzi???
Mwasit unapenda sana umazeriNimeonelea nikuwe na umama kama Watanzania kumbe inakukera Susan?
He brings money to Us, we are lucky to you as a Tanzanian juu sampuli yako ni omba omba sio kama diamond.hahahaha...ni kama tu vile nyinyi mna wish he was a kenyan.![]()
![]()
![]()
![]()
Haha tafuta miwani brathe....kama uko na insurance enda ukabuy keshoView attachment 718079
Uahaha wapeni uraia sasa😀😀😀Hatuna tabia ya kufukuza watu inchini unless its political.
Huyo anakuja kuchukua pesa safaricom haikumleta kenya bure anakuja kubeba alete nyumban aendelee kuekezaHe brings money to Us, we are lucky to you as a Tanzanian juu sampuli yako ni omba omba sio kama diamond.
Alaf sio mkenya ni settler kutoka britain au unabisha hahahah ameinvest tanzania nashkuru sana kwa kuleta pesa tanzaniaLol......mtatusi tu lakini soon we shall buy the cheap ass 40 billion dollar country of tanganyika
Eldoret tycoon acquires Tanzania tea firms for Sh6 billion
Hahahhahaa baba umeua kama namuona vile colokadanganye wajinga wenzako, hio yako ni photoshop tu...picha halisi ni hii hapa chiniView attachment 717908
Acha utani.nilidhani Mombasa
Naona panavyofanana, mji density bwana
Alaf sio mkenya ni settler kutoka britain au unabisha hahahah ameinvest tanzania nashkuru sana kwa kuleta pesa tanzania
Huku sheria ardhi tofaut amekododishiwa na serekali tu
$50+bln ,mmeshindwa jifadhili railway ya $3.6bln ndio uje uwaze tutawaoajeLol......mtatusi tu lakini soon we shall buy the cheap ass 40 billion dollar country of tanganyika
Eldoret tycoon acquires Tanzania tea firms for Sh6 billion
Mombasa wako na dwarf buildings pekee haitoshi kitu aponilidhani Mombasa