Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

una nini ya kufunza watoto bana ee
 
Si unajua kwao ni masikini sana,showa za huko jamaa analipwa pesa kidogo sanapia tickets za kwao eti msee anaingia na 500bob...ukiweza show ya thao tatu utabaki pekee yako kwa event
 

Ati utamaduni.! Utamaduni gani. Ewe mnaogopa heights? akuna utamaduni ni kitu inaitwa vertical development. You are still far off. Very lame excuse! Tafuta ingine.
Sasa hapo kwa reli kwani mliona umuhimu wa reli yenye capacity kubwa juzi tu baada ya Kenya kujenga? Hamungejenga kabla tujenge?
 
povu kubwa sana hili... emotions peleka kibera hapa sio mahala pake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Emotions gani? Yaani mnadhani mkiimba povu kila siku ndio mtashinda. Diamond ana furaha sana kuwa Kenya hata anavyoonekana anajihisi ako majuu. Alafu ni mnyenyekevu sana kwa sababu anajua Kenya ndiyo nchi locally inaweza kumfanya aonekane muhimu duniani. Hata huko marekani na marafiki zake najua yeye hujifanya mkenya kutoka Obamaland. Akisema tu ametoka Tanzania wanamuuliza huko ni wapi kaka?
 
uhaha mlijenga nn???? hio ni kitu kipya kabisa terminal 3 iko mbali na terminal 2 kabisa hui kitu ikikamilika mutatafuta pakukimbilia 😀😀😀😀😀😀

Mkifungua hizo tutakuwa tumefanya direct flights kama mia to New York city. Tena hamuna ndege sijui muanze kuzitafuta. Enyewe mko mbali.
 
Hahahahahahahahah, mtaendelea kupenda vya wenzenu kama kawaida yenu, sisi mbele kwa mbele. Hivi hamjaanza kusema hata hii modern and the only bullet train in Africa inajengwa na wakenya?. Kama huyo Diamond munwmuhitaji, mnaweza kumchukua, sisi tutaibua wengine zaidi ya huyo, na akiwa huko ndani ya miezi sita atapotea katika ramani ya muziki kama walivyopotea wanamuziki wote wa Kenya.
 
Sio nyie mlio overstretch mkaingia kwenye huge debts[emoji23][emoji23] na sasahv government is BROKE

Mimi hata nashangaa mnasema nini a heavily indebted poor country na hizo infrastructure najua zinawahemesha kwa vile mnakusanya kodi ndogo sana. Very soon mtakuwa kama Ethiopia where 90 % of budget inaenda kwa kujenga vitu kama hizo na watu hawalipwi mishahara for months
 

Yeye alijileta Kenya hakuitwa. Alikaa tu kwake Tandale akaona duh hii album nikijaribu kuilaunch hapa Tanzania ni disaster hakuna mahali itaenda. Wacha nibonge na wakenya vizuri. Na analipa hao organizers wa kikenya wote, no free things here. Isipokuwa hio ka kwota alipewa
 
Mashudu period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…