Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it doesn't matter even xi jinping and vladimir putin can't speak english fluently and they're always traveling with english translators when going for a state visit outside their countries.

NB:

View attachment 715287

Hiyo ni kudharauliwa. A quarter of an acre is what we give to reformed prostitutes in Kenya. Sioni cha kusherehekea hapo kwanza Diamond alikoswa sana.
 
Sasa which is which? Mlisema huko kwenu hamuishi kwenye majumba ya kupangishwa yaani flats tena sasa ndio hii unatunyesha. Ni vizuri umeweka wazi kuwa si ati hampendi flats ni vile hamwezi jijengea. Only your national housing corporation can afford to build a few of these.

Hiyo picha dhumuni ilikuwa kuonesha mji ulivyojengeka kwa nyuma.

Flats au kota zipo toka kabla ya uhuru, nyingi zilikuwa ni za wafanyakazi wa mashirika ya umma. Kwa Tanzania flats/apartments huwa ni za kujishikizia wakati mtu anaanza maisha kabla hajajenga "kibanda" chake. Flats hazipendwi sana Tanzania hata kama ni nzuri kiasi gani, heshima kwa jamii yetu huja unapokuwa umejenga kibanda chako.
 
yaani nyinyi hakuna kitu tutafanya mkose kuiga. Sasa ati juu tulijenga new terminals na nyinyi sasa mnajenga terminal yenu haha. Tukijenga reli mnapambana mpaka mjenge yenu pia. Are you sure mtawezana na hizi mbio za wazito? I know for sure after a few years mtakuwa mshatii. You are overstretching, mtapasuka msamba

Hatujaiga mtu, hiyo terminal mpya ilikuwa kwenye mpango wa kujengwa siku nyingi kutokana na ongezeko la wasafiri. Terminal 2 ilijengwa 1984 na wafaransa wakati demand haikuwa kubwa kama sasa.
 
Hiyo picha dhumuni ilikuwa kuonesha mji ulivyojengeka kwa nyuma.

Flats au kota zipo toka kabla ya uhuru, nyingi zilikuwa ni za wafanyakazi wa mashirika ya umma. Kwa Tanzania flats/apartments huwa ni za kujishikizia wakati mtu anaanza maisha kabla hajajenga "kibanda" chake. Flats hazipendwi sana Tanzania hata kama ni nzuri kiasi gani, heshima kwa jamii yetu huja unapokuwa umejenga kibanda chako.

Si ati mambo na heshima. Ni vile mko bado sana. Bado hamjafikia kiwango. Yaani unanunua nyumba yako 2 or 3 bedrooms 10th floor ama hata 20th na hapo ni kwako milele. Thats what happens in developed economies. Its common in cities such as New York and London. Nyinyi bado sana jipeni miaka kadhaa.
 
Hatujaiga mtu, hiyo terminal mpya ilikuwa kwenye mpango wa kujengwa siku nyingi kutokana na kuongezeko la wasafiri. Terminal 2 ilijengwa 1984 na wafaransa wakati demand haikuwa kubwa kama sasa.

Na reli pia ilikuwa kwenye mpangilio ama ilikuja baada ya kuskia Kenya inatamba na reli mpya?
 
Uber “Looking Forward” To Food Delivery Services in Nairobi
Uber-Eats.jpg
Uber-Eats.jpg
Nairobi
residents will in coming months be able to use Uber to have their food orders delivered to their doorsteps.

The Taxi-hailing company is set to launch its food delivery service- Uber Eats- this year. Currently, Uber Eats operates in over 200 cities around the globe and partners with more than 80,000 restaurants.

“After three years of making safe and affordable rides available at the touch of a button, Uber has announced its continued investment in East Africa with the forthcoming launch of Uber Eats in Kenya,” Uber spokesperson East Africa Janet Kemboi said in a statement.

“The global food delivery app — that makes getting great food as simple as requesting a ride — will add Nairobi to its menu of more than 200 cities around the world later this year.”

While Kemboi did not provide the exact date for the launch or which restaurants the firm would partner with, she said they are looking forward to it.
 
Si ati mambo na heshima. Ni vile mko bado sana. Bado hamjafikia kiwango. Yaani unanunua nyumba yako 2 or 3 bedrooms 10th floor ama hata 20th na hapo ni kwako milele. Thats what happens in developed economies. Its common in cities such as New York and London. Nyinyi bado sana jipeni miaka kadhaa.

Siyo kila kitu cha Ulaya ama Marekani ni maendeleo, vigine ni utamaduni tuu, sisi Tanzania tuna utamaduni wetu ambao ni kujenga na kukaa kwenye vibanda vyetu. Mambo ya kukaa sijui kwenye maghorofa siyo mambo tunayopenda sana.

Na reli pia ilikuwa kwenye mpangilio ama ilikuja baada ya kuskia Kenya inatamba na reli mpya?

Sababu kubwa ya kujenga reli mpya ni sababu za kiuchumi, ambapo SGR inaweza kubeba mizigo mizito zaidi kwa wakati mmoja (double-stack railcar) na kupunguza gharama za usafirishaji kwa mwendo kasi zaidi (~120km/hr).

Reli ya mjerumani (central line) haiwezi kubeba mizigo mingi kwa wakati mmoja na mwendo kasi wake ni mdogo sana (~40km/hr)
 
Naomba mlete mlinganisho wa vyanzo vya mapato (sources of revenue) humu kati ya Kenya na Tanzania ili tuweze kukata ngebe zinazopigwa humu.
 
a 950 metre bridge has collapsed in miami killing six people.........tanzanians please celebrate a developed country having a bridge collapsing the way you normally do
 
a 950 metre bridge has collapsed in miami killing six people.........tanzanians please celebrate a developed country having a bridge collapsing the way you normally do
Kumbe we hauna akili kiasi hiki...!!!

Sasa nafanya "Reductionist Fallacy"
Ku argue with Kenyans ni kupoteza muda kwa kweli
 
Back
Top Bottom