Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haha wewe kauze masimu kariakoo ..diamond anakwamilia kenya amechoka kukaa na wajinga jamaa anasema "i wish i was born in kenya"
wacha achote pesa kwenu alaf aende america achote aende south achote alete home ajenge nchi😀😀😀😀😀😀
 
"BY THE GOVERNMENT" YANI NI SERIKALI TU NDIO KUJENGA
Kama ambavyo ninyi ni private sector tu, serikali imelala inashindwa hata kukusanya kodi, matokeo yake uchumi unakufa. Serikali inajenga kwa niaba ya wananchi, then wananchi wanapangishwa au kuuziwa nyumba kwa bei nafuu sana, that's why Tanzania leads Africa in inclusive economy.
 
haha naona unataja ma middle na developed countries kenya included..thanks..
ma middle wakat gvt is broke??? chakula hamuna, slums haziishi, unemployment kubwa zaidi africa, police killing everyday, no security to people, etc😀😀😀😀😀😀😀
 
Kama ambavyo ninyi ni private sector tu, serikali imelala inashindwa hata kukusanya kodi, matokeo yake uchumi unakufa. Serikali inajenga kwa niaba ya wananchi, then wananchi wanapangishwa au kuuziwa nyumba kwa bei nafuu sana, that's why Tanzania leads Africa in inclusive economy.
government ni infrastructure to help boost private sector....mjinga wewe..tuma links ya failed state juu hauwezi facts
 
Kama ambavyo ninyi ni private sector tu, serikali imelala inashindwa hata kukusanya kodi, matokeo yake uchumi unakufa. Serikali inajenga kwa niaba ya wananchi, then wananchi wanapangishwa au kuuziwa nyumba kwa bei nafuu sana, that's why Tanzania leads Africa in inclusive economy.
heheh yani serekali imeshindwa kabisa haina pesa
7b88541b-7f33-4bb2-bf41-c309f3f3a423-jpeg.716772
 
Back
Top Bottom