Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tutatuma flooding ya dar utalia
katika miaka yote ambayo dar es salaam imewahi kukubwa na flood, haijawahi kutokea flood katika cbd.

our cbd is well planned.. can't be attacked by flood. ni aibu nairobi cbd kukumbwa na floods kila mwaka.
IMG_20180316_160649.jpg
IMG_20180316_160735.jpg
 
This is a throwback song to 2008,Kenyans can relate, Kayamba Africa, i wonder where they went msn this was lit!
 
good news to all the guys who love spending their quality times on good hotels and bad news to all the guys who hate anything coming from tanzania.

east africa's number one billionaire said salim bakhresa is about to launch his five star hotel in zanzibar. it's called hotel verde.

viva tanzania.

IMG_20180316_155018.jpg
IMG_20180316_154949.jpg
9c6479c237e41a71ddaf9d6d7b786586.jpg
b43307cc1bc01d6c3f07d96704e9a8b2.jpg
IMG_20180316_154956.jpg
IMG_20180316_154704.jpg
IMG_20180316_154937.jpg
 
wakati wasanii toka tanzania kila siku wanapanda ndege wakizunguka dunia na kufanya show katika nchi mbalimbali za africa, europe na USA, wasanii wa kenya wanaishia kufanya show kwa counties.
viva tanzania.

View attachment 716724View attachment 716725View attachment 716726View attachment 716728View attachment 716727
Nakuhurumia tu mzee.
Hata J Cole hufanya USA Tour na ni American, najua kwenu hakuna vile msanii anaeza tembea locally juu huki ni vichaka tu. Victoria Kimani msanii amefanya big songs anafanya shows Netherlands,South Africa,USA, Nigeria sasa amekuja home tour unacheka? See your life mzee vitu mingi zimekupita aise
Look at her collabos
Sarkodie Africa's fastest rapper

Phyno

M.I The one and only

R City

AKA

Khuli Chana

Abbas mwenyewe baddest Rapper

Hata amesaidia mwenzenu ajulikane kenya diamond

YOU SHOULD KNOW PEOPLE!
 
safi sana na hongera kwa diamond kununua shamba kenya.

ni fahari sana kwa mtanzania kumiliki ardhi katika nchi ambayo majority of citizens are landless.
viva tanzania.
Mzee... Inaonekana hujawahi kufika Kenya. Na kama umewahi kufika, ulitumia tu wakati wako kulalia maskio. Na ni wazi kuwa either wewe haukusoma, (high school leaver) ama wewe ni lazy cha kupindukia ulikam kulala tu.
An intellectual is easily identified and sorry to say you are not in that category. If you came to Kenya and you didn't do a small research on land ownership, go back to Tz to hull that land is owned by minority then you're a loser.
Do you know how many people were compensated by the government during the railway construction, despite a large portion of the SGR passing through Tsavo which covers almost the whole way from nairobi to mombasa??
WORD.
 
Machozi ya nn jamvini?
 
nimekuja speed nikidhani nitakuta umeandika jambo la maana,kumbe porojo.

yaani umetumia nusu ya post yako kuni-attack kuliko ku-stick kwenye topic.

vilaza mkibanwa kwa thread mnakuwa na hasira sana. i love arguing with a quick-tempered mugger.
 
Mzee... Inaonekana hujawahi kufika Kenya. Na kama umewahi kufika, ulitumia tu wakati wako kulalia maskio. Na ni wazi kuwa either wewe haukusoma, (high school leaver) ama wewe ni lazy cha kupindukia ulikam kulala tu.
An intellectual is easily identified and sorry to say you are not in that category. If you came to Kenya and you didn't do a small research on land ownership, go back to Tz to hull that land is owned by minority then you're a loser.
Do you know how many people were compensated by the government during the railway construction, despite a large portion of the SGR passing through Tsavo which covers almost the whole way from nairobi to mombasa??
WORD.
Mzee vp!! Umekumbwa na mafuriko kwako sasa unatuletea mafuriko ya povu JF
 
Back
Top Bottom