Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nairobi-the-capital-city-of-kenya-aerial-view-DP52R8.jpg
ivi car ndogo ndogi ama baiskel yeyote yaweza katiza kweli hayo maeneo ya kenya maana pale manzese ndinga zinaweza jukatiza freesh
 
tanzania tumebarikiwa kuwa na chakula kingi. hatuna njaa.

in tanzania a single plate of biryani can only cost you tsh3000 (ksh134.85).

863ff10a967fc7639965481c231df5e9.jpg
846d4abae49dbd4fa4f9a735d65a423f.jpg
69cca18d732f47cd2716bf773b4eec29.jpg
1498a5e2ea038fbbf790a5b4aad507da.jpg


NB
the same food (biryani) in kenya especially nairobi can cost you ksh500(tsh11123.12). you can only find it in five star hotels or few restaurants that sell coast food.

halafu wakenya wengi wa bara ni washamba sana, sidhani kama wanaelewa kitu kuhusu "biryani". wengi wamezoea kula githeri(makande).
 
Yani wakenya kungekua na uwezekano wakudanganya dunia kua diamond ni mkenya wangeshadanganya zamani yani wanapenda kila kizuri kiwe chao😀😀😀😀😀😀
hata mimi nime notice...acha nifanye uchunguzi twitter. lazima nitapata tweet moja ya mkenya akidai diamond ni mkenya.

shida ya kenya wana uhaba wa vijana wenye real talent ya mziki.

wanamziki wao wote wanaimba ujinga.
hivi kweli mtu unaweza kwenda kulipa kiingilio kwenye show ya mwanamziki anaimba "ruka juu... banjuka tu?". hapana.

ndio maana promoters wao and event organizers wanapenda kuwashirikisha wanamziki wa tz cos wanasaidia sana ku attract mashabiki kwenye matamasha yao na hatimaye kupata pesa nyingi.
 
hata mimi nime notice...acha nifanye uchunguzi twitter.

lazima nitapata tweet moja ya mkenya akidai diamond ni mkenya.

shida ya kenya wana uhaba wa vijana wenye real talent ya mziki.

wanamziki wao wote wanaimba ujinga.
hivi kweli mtu unaweza kwenda kulipa kiingilio kwenye show ya mwanamziki anaimba "ruka juu... banjuka tu?". hapana.

ndio maana promoters wao and event organizers wanapenda kuwashirikisha wanamziki wa tz cos wanasaidia sana ku attract wapenda burudani kuhudhuria kwenye matamasha yao na hatimaye kupata pesa nyingi.
Ila simba anatengenez pesa nyingi sana halali yake afanye makubwa tanzania
 
hata mimi nime notice...acha nifanye uchunguzi twitter. lazima nitapata tweet moja ya mkenya akidai diamond ni mkenya.

shida ya kenya wana uhaba wa vijana wenye real talent ya mziki.

wanamziki wao wote wanaimba ujinga.
hivi kweli mtu unaweza kwenda kulipa kiingilio kwenye show ya mwanamziki anaimba "ruka juu... banjuka tu?". hapana.

ndio maana promoters wao and event organizers wanapenda kuwashirikisha wanamziki wa tz cos wanasaidia sana ku attract mashabiki kwenye matamasha yao na hatimaye kupata pesa nyingi.


machinations and innuendos nayo umebobea......funny enough sauti sol won mtv mama awards best group in Africa and no Tanzanian won anything.Apart from all this diamond drama there is no other Tanzanian musician who can pull a crowd in Kenya.Vile tu mnavyokimbilia south Africa kushoot videos ndio mnavyokimbilia Kenya coz mnajua wakenya wana pesa mingi na show ya Nairobi is way more lucrative than that in the rag tag Daresalaam
 
hahaha....
Wakati Finland ikitajwa kushika namba 1 kwenye orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani, Tanzania ipo kwenye nchi 10 zisizo na furaha na imetajwa namba 153 ikiwa ni namba ileile ya mwaka 2017 kwenye Ripoti hiyo iliyotolewa na UN.
Finland imeipita Norway mwaka huu na kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani, kulingana na Ripoti ya Umoja wa Mataifa(UN).
Ripoti hiyo pia inaonesha kudondoka kwa Marekani katika viwango vya furaha hadi nafasi ya 18 ambayo ni nafasi 5 chini ya ile ya 2016 likiwa ndo taifa kubwa kiuchumi likikabiliwa na kiribatumbo(obesity), matumizi ya mihadarati na sonona.
Nafasi nne za juu zimeshikiliwa na nchi za Nordic; Finland ikifuatiwa na Norway, halafu Denmark na Iceland katika nafasi ya nne.
Burundi imeshika nafasi ya mwisho kabisa (156) ikichangiwa na ugomvi wa kikabila, majaribio ya mapinduzi na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Cha kushangaza, Rwanda, Yemen, Tanzania,
Sudan Kusini na Jamhuri ya Afrika ya Kati zimeonesha viwango vya chini vya furaha kuliko hata Syria.
Kwa mara ya kwanza, UN imepima pia viwango vya furaha vya wahamiaji katika kila nchi na Finland imeibuka kinara.
Nchi zilizofanya vizuri zimepata alama za juu katika kipato, hali ya kiafya, msaada/uungwaji mkono wa kijamii, uhuru, uaminifu na ukarimu.
========
Top 10 happiest countries, 2018
(2017 ranking in brackets)
1. Finland (5)
2. Norway (1)
3. Denmark (2)
4. Iceland (3)
5. Switzerland (4)
6. Netherlands (6)
7. Canada (7)
8. New Zealand (8)
9. Sweden (10)
10. Australia (9)
The 10 unhappiest countries, 2018
(2017 ranking in brackets)
147. Malawi (136)
148. Haiti (145)
149. Liberia (148)
150. Syria (152)
151. Rwanda (151)
152. Yemen (146)
153. Tanzania (153)
154. South Sudan (147)
155. Central African Republic (155)
156. Burundi (154)
Unajua wanavyopima???
 
Sasa which is which? Mlisema huko kwenu hamuishi kwenye majumba ya kupangishwa yaani flats tena sasa ndio hii unatunyesha. Ni vizuri umeweka wazi kuwa si ati hampendi flats ni vile hamwezi jijengea. Only your national housing corporation can afford to build a few of these.
Nizo ni kota
 
Back
Top Bottom