COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Jamaa anasema he wishes he was born in kenya
Maneno ya mtongozaji hayo, angalia You tube anapofanya perfomance, kila nchi anayokwenda maneno ni hayohayo anayosema, kama kumtongeza demu, huwa swaga ni zile zile hazibadiliki sana
tuma link bratheManeno ya mtongozaji hayo, angalia You tube anapofanya perfomance, kila nchi anayokwenda maneno ni hayohayo anayosema, kama kumtongeza demu, huwa swaga ni zile zile hazibadiliki sana
asante kwa porojo.UNARENT shamba tz yote ya serikali..haha ukiuza hiyo yote ata hekari 1/4 hautanunua kenya

Bamaga - Mwenge moja hiyo...mjini
![]()
ipo kwenye mpango nilimsikia mbarawa akisemaBamaga - Mwenge moja hiyo...
Sema Bamaga na Sayansi pale pangejengwa flyovers za kishkaji pangenoga sana
hapo sawa hiondio kazi yako umebakisha 98
Si uliniomba link, au sijakuelewa?hapo sawa hiondio kazi yako umebakisha 98
wacha ukumaa tuma ma linkSi uliniomba link, au sijakuelewa?
karibu kwa kukubali ukweliasante kwa porojo.![]()
![]()
![]()