Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yaani nyinyi hakuna kitu tutafanya mkose kuiga. Sasa ati juu tulijenga new terminals na nyinyi sasa mnajenga terminal yenu haha. Tukijenga reli mnapambana mpaka mjenge yenu pia. Are you sure mtawezana na hizi mbio za wazito? For sure after a few years mtakuwa mshatii. You are overstretching, mtapasuka msamba
Sio nyie mlio overstretch mkaingia kwenye huge debts na sasahv government is BROKE
 
Huyo jamaa ndio huyu? Mbona kama wanafanana
tapatalk_1519916253168.jpg
 
Sample pelekea wenzako mimi nataka the 1st one kilometre kama humna sema hamna.
Uhahaha kilio we kilio kimekubamba vyema😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Kenya kujenga old fashion rail 3 and ahalf years ni sawa lakin
Tanzania haijamaliza hata mwaka kwenye ujenzi the modern electric train in africa imekua kilio
 
So you in Tz but acting like Kenyans? Really boy???
inaonekana mwalimu wako wa sekondari alipata/anapata shida sana kukufundisha.

nyinyi ndio wale mnapaswa kupigwa bakora nyingi sana za matako ili akili zenyu zikae sawa.
 
inaonekana mwalimu wako wa sekondari alipata/anapata shida sana kukufundisha.

nyinyi ndio wale mnapaswa kupigwa bakora nyingi sana za matako ili akili zenyu zikae sawa.
Si umesema when in Rome you act like romans???
 
Back
Top Bottom