Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Changing Goal posts.. Mvua ndiyo hii, Mlime sasa siyo baadae mlalamike njaa na kuanza kusumbua majirani zenu, then mkipewa chakula na kushiba mna anza "we are aggresive," "we have larger GDP" shenzy type
 
Huyo researcher atakua ana kichaa kuiacha Kenya, Mamia ya watu wamekufa kipindi cha uchaguzi, watu wanazidi kufa, Teargases kila siku, Police vs Citizens, Njaa, Floods, broke government na mengine kibao

Ukiachana na nchi yenye shida nyingi East Africa kuna nchi kama Syria, South Sudan, Congo, Afghanistan siera lione ambazo shida zake zinafanana na Kenya pia hazijatajwa.. I think hii report imeandaliwa Kenya

Enda kwa gate ya umoja wa mataifa (United Nations) ndio utoe povu......reke nemwo
 
Huwaga wanasemaga wana ardhi ushago na wamejenga uko. Nairobi wanatafuta pesa tu. Mpaka yule Colloh mwizii akaweka picha ya ng'ombe mmoja akiwa kwenye kichaka

we don't have the Swahili slums in Nairobi.......
 
Yaani nilikuwa nafikiria hivyo hivyo, Mungu awarehemu kwa kweli maana umasikini halafu majanga kama haya siyo sawa kabisa.
watu wa kibera hawana wa kuwasemea.
wanapambana na hali yao wakiwa wapweke. napata huruma sana.mungu walinde watu wa kibera.
 
we don't have the Swahili slums in Nairobi.......
U have international slums
1CDB55DF-404B-45D5-9877-25F4421CAC67.jpeg
 
watu wa kibera hawana wa kuwasemea.
wanapambana na hali yao wakiwa wapweke. napata huruma sana.mungu walinde watu wa kibera.

don't forget the 3 Tanzanians killed by floods today.........hii kibera mumeshindia sana kwa sababu ya uchungu ya Kenya kutokuwa LDC....mnasherehekea majanga na vifo pia.Lakini Mungu ataendelea kuifanisisha Kenya.....good night
 
Wapi ushahidi????
 
Hakuna anayefurahia shida ya mwingine hapa, watanzania hatuko hivyo.
 
hahaha....
Wakati Finland ikitajwa kushika namba 1 kwenye orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani, Tanzania ipo kwenye nchi 10 zisizo na furaha na imetajwa namba 153 ikiwa ni namba ileile ya mwaka 2017 kwenye Ripoti hiyo iliyotolewa na UN.
Finland imeipita Norway mwaka huu na kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani, kulingana na Ripoti ya Umoja wa Mataifa(UN).
Ripoti hiyo pia inaonesha kudondoka kwa Marekani katika viwango vya furaha hadi nafasi ya 18 ambayo ni nafasi 5 chini ya ile ya 2016 likiwa ndo taifa kubwa kiuchumi likikabiliwa na kiribatumbo(obesity), matumizi ya mihadarati na sonona.
Nafasi nne za juu zimeshikiliwa na nchi za Nordic; Finland ikifuatiwa na Norway, halafu Denmark na Iceland katika nafasi ya nne.
Burundi imeshika nafasi ya mwisho kabisa (156) ikichangiwa na ugomvi wa kikabila, majaribio ya mapinduzi na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Cha kushangaza, Rwanda, Yemen, Tanzania,
Sudan Kusini na Jamhuri ya Afrika ya Kati zimeonesha viwango vya chini vya furaha kuliko hata Syria.
Kwa mara ya kwanza, UN imepima pia viwango vya furaha vya wahamiaji katika kila nchi na Finland imeibuka kinara.
Nchi zilizofanya vizuri zimepata alama za juu katika kipato, hali ya kiafya, msaada/uungwaji mkono wa kijamii, uhuru, uaminifu na ukarimu.
========
Top 10 happiest countries, 2018
(2017 ranking in brackets)
1. Finland (5)
2. Norway (1)
3. Denmark (2)
4. Iceland (3)
5. Switzerland (4)
6. Netherlands (6)
7. Canada (7)
8. New Zealand (8)
9. Sweden (10)
10. Australia (9)
The 10 unhappiest countries, 2018
(2017 ranking in brackets)
147. Malawi (136)
148. Haiti (145)
149. Liberia (148)
150. Syria (152)
151. Rwanda (151)
152. Yemen (146)
153. Tanzania (153)
154. South Sudan (147)
155. Central African Republic (155)
156. Burundi (154)

How can you be happy whe most of your time you focus on your neighbours...
 
don't forget the 3 Tanzanians killed by floods today.........hii kibera mumeshindia sana kwa sababu ya uchungu ya Kenya kutokuwa LDC....mnasherehekea majanga na vifo pia.Lakini Mungu ataendelea kuifanisisha Kenya.....good night
Vp mbona unatuaga mapema!! au keja imevuja inabidi ukinge ma ndoo pembeni kwa bed . Ila poleni sana wajameni, jay, mwasiti, pingili nywee n.k bila shaka mnapambana na hali zenu
 
don't forget the 3 Tanzanians killed by floods today.........hii kibera mumeshindia sana kwa sababu ya uchungu ya Kenya kutokuwa LDC....mnasherehekea majanga na vifo pia.Lakini Mungu ataendelea kuifanisisha Kenya.....good night
umeandika kwa majonzi sana... basi samahani bro sitorudia tena.
 
Back
Top Bottom