Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

An industrial area right next to the cbd?!? Something ain't right somewhere. Hii Dar yenu inazidi tu kustaajabisha kila kuchao.
Hiyo ni industrial plot ambapo kuna karakana (workshop) ndogo ndogo. Hapo ni kama 2km kutoka CBD.
 
For 10 mks tuonyeshe informal settlements next to Nasra towers😀😀😀 na usijifanye kipofu tafadhali😉😉
3ad29179-b103-46a4-bf41-a943b3b0900b.jpg
Na hapo pia sio CBD, CBD ya Dar inaundwa na wards kama vile
Posta
East Upanga
Kisutu
Mchafukoge
Kivukoni (Magogoni)

Hata ukiwa Kariakoo utaona direction inayokuonyesha kwenda City Centre yaan CBD ndo ushangae sasa...

Mnapoambiwa Dar ni kubwa kuliko NBO mnatakiwa mjiongeze kidogo, sie mbona tunaulizaga tusiyoyajua kuhusu NBO

Me humu rafiki yangu ni El Matador tuu
 
Haya mambo ya sijui "below poverty line" msiyachukulie kwa pupa, huwezi ukarundika nchi zote kwenye gunia moja na kusema "hawa ni masikini" eti kwa kuwa wanapata kipato cha chini ya dola moja.

Hiyo dola moja mtanzania anakula vizuri sana na kubakisha.

Wenzenu wanaposema, "chini ya dola moja" kwenye nchi zao ni umasikini kweli kweli. Sana sana utakachonunua ni grandma's cookies kwenye vending machine kama hapo chini inavyoonesha bei yake ($0.85).

View attachment 715096

Lakini kwa bongo hivyo vipimo havina mashiko kiivyo kwa kuwa unapata msosi wa nguvu kwa chini ya dola moja.

upload_2017-8-16_13-17-36-png.567665

Huu msosi kuna jamaa alisema kwao tabata ubaya ubaya mamantilie wanauza kwa Tsh1000 ambayo ni sawa na "four dimes four pennies" ($0.44), kwa rate ya $1=Tsh2255.

Sasa wewe jirani unaongea ongea tuu bila hata ya kufikiri eti kwasababu "wamesema"?
eeeewwww......not yummy.fish and beans at one go
 
I believe there was a translator in that room. some nigga is speaking kinyamwezi packaged as English
it doesn't matter even xi jinping and vladimir putin can't speak english fluently and they're always traveling with english translators when going for a state visit outside their countries.

NB:

IMG_20180315_001053.jpg
 
Govt to tarmac 4,000km of road in four years
By the end of 2016, Kenya mnlikua na jumla ya 15,981km za tarmacked roads, 14,000Km zilizojengwa na serikali zilizopita, na 1,981Km zilijengwa na serikali ya Jubilee. Tanzania ilikuwa na 17,000Km katika kipindi hicho hicho, kumbuka Tanzania ni kubwa mara mbili ya Kenya, kwahiyo percentage ways Kenya itaonyesha mara mbili ya Tanzania, jifunze kutafsiri hizo data.
ati 17000........pipe dream
 
ati 17000........pipe dream
Kama ambavyo ilikuwa ndoto kwenu kukubali kwamba Tanzania inaweza kujenga reli ya umeme, kama ambavyo mlikua hamuamini kama Tanzania inaweza kujenga SGR kwa kutumia pesa yake yenyewe, the only country of third word to do that. Tanzania is a model country, utake usitake lakini huo ndio ukweli.
 
you are one shallow emotion whimp who only blubbers....go to your transport authority web site ujioneee 7600 km only of roads....pwahaha

namba mtaisoma
Screen-shot-2018-01-19-at-12.39.png
 
Kama ambavyo ilikuwa ndoto kwenu kukubali kwamba Tanzania inaweza kujenga reli ya umeme, kama ambavyo mlikua hamuamini kama Tanzania inaweza kujenga SGR kwa kutumia pesa yake yenyewe, the only country of third word to do that. Tanzania is a model country, utake usitake lakini huo ndio ukweli.
Usitutole facts kutoka matako
 
Na hapo pia sio CBD, CBD ya Dar inaundwa na wards kama vile
Posta
East Upanga
Kisutu
Mchafukoge
Kivukoni (Magogoni)

Hata ukiwa Kariakoo utaona direction inayokuonyesha kwenda City Centre yaan CBD ndo ushangae sasa...

Mnapoambiwa Dar ni kubwa kuliko NBO mnatakiwa mjiongeze kidogo, sie mbona tunaulizaga tusiyoyajua kuhusu NBO

Me humu rafiki yangu ni El Matador tuu
Unasemaje sio cbd wakati hixo towers tstu refu ziko kama 500 m or 600 m away? Watanzania kwa kukana mambo hamna mpinzani. Mnakana hadi vitu zilizowazi
 
Kama ambavyo ilikuwa ndoto kwenu kukubali kwamba Tanzania inaweza kujenga reli ya umeme, kama ambavyo mlikua hamuamini kama Tanzania inaweza kujenga SGR kwa kutumia pesa yake yenyewe, the only country of third word to do that. Tanzania is a model country, utake usitake lakini huo ndio ukweli.
Hiyo sgr mumejenga iko wapi?
 
Unasemaje sio cbd wakati hixo towers tstu refu ziko kama 500 m or 600 m away? Watanzania kwa kukana mambo hamna mpinzani. Mnakana hadi vitu zilizowazi
Look at here, then say your words again
This is a distance from that street to such towers
IMG_20180315_095804.png
 
Back
Top Bottom