kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
Vp mbona unatuaga mapema!! au keja imevuja inabidi ukinge ma ndoo pembeni kwa bed. Ila poleni sana wajameni, jay, mwasiti, pingili nywee n.k bila shaka mnapambana na hali zenu

Vp mbona unatuaga mapema!! au keja imevuja inabidi ukinge ma ndoo pembeni kwa bed. Ila poleni sana wajameni, jay, mwasiti, pingili nywee n.k bila shaka mnapambana na hali zenu

Hizi ndiyo estate tunazoringishiwa poor planning system ndiyo Singapore wanatumia ramani ya Nairobi kujenga miji yaoRIP estates
View attachment 716014

Mji wa wavuviAise hii kali
View attachment 716018
Nyie ama ss![]()
Jipeni moyo
Ha haa,sasa wajiandae kula hayo maua.!walime wapi kwan hio ardhi wanayo ardhi wameshika wazungu wanapanda maua kupeleka kwao😀😀😀😀😀😀😀😀
Bila shaka Mombasa mvua haija nyesha.. wenzako wa Nairobi hali ni tete wanapambana na hali zaoNyie ama ss
Hiyo natural calamities ipo Nairobi tu,,miji mingine ni poor planningFloods are natural calamities.....give us a break.

Endelea kujidanganya sawa buda agiza coffee nakuja kukulipia sawaeeNyie ama ss
Na jidanganya na nn fala weweEndelea kujidanganya sawa buda agiza coffee nakuja kukulipia sawaee
Poleni sana jipe moyoNa jidanganya na nn fala wewe
Wakisha maliza kuvikausha vi techno vyao watakuja








Noma sana. Vi Tecno vimelowana ?giant termina 3
![]()
![]()
![]()
![]()
I thought you called them dormitories........of course the national housing cooperation has to be the one building you estates... in Kenya it's done by private individuals or sacco societies
Lakini pamoja na yote hayo unayojisifia, bado mnashindwa kupambana na
1)Njaa
2)Unemployment
3)Uchumi unasuasua hadi mnakopa kwa kila project
4)Utalii unakufa, mnazidiwa na Uganda hawana beach wala mbuga za wanyama kama mlizonazo ninyi
5)Mumeshindwa kupunguza rushwa
Mnachokijua vizuri kuliko vyote ni kupenda sifa za kijinga pekee