Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jobs everywhere in tanzania
CCAF3ED4-8769-4A7B-9A16-AB73153BE7AB.jpeg
 
You're out of your mind Kenya ndio mnawaita wasanii wetu huko ili mtengeneze Pesa, no body gives a shit about Kenya, Msanii kama Diamond Vanessa Ali Kiba na wengine wengi wamekua International Artists without even geting intouch with Kenya, Walipojulikana ndio mkaanza kuwaita ili waje mtengeneze Pesa, Msanii Wa Tanzania soko lake kubwa anawaza Nigeria, na Western countries.. Ndio maana hutakuta Msanii Wa Kenya ameshirikishwa kwenye nyimbo ya Msanii Wa Tz its only 1%..
Diamond ni Kenya ilimpeleka International na Wimbo wake wa wingolo, Alikiba hushinda mombasa na Joho, Venessa kama haujui Amesomea university Kenya..

Currently most of them make more shows in Kenya than Tz, maskini hata hamuwezi waaford sahii kuwalipa.
 
international rnb singer Omarion is in kenya for an album launch of diamond platnumz but he neither post photos nor location to show to his fans that he is kenya.

why is he doing so?.check his instagram page you will see what i'm talking about. is kenya not exciting him to perform or what?. smh

i swear he wouldn't do such an act if he were in dar es salaam. we would make him feel home.

you should thank diamond platnumz b'se at the moment he is the only superstar who gives kenya mileage by mentioning it on instagram.he does so purposely to promote his album.
povu ruksa.

View attachment 714788
Boss wacha wivu, the show is aprivate affair invites only how do you expect them to announce..
 
Diamond ni Kenya ilimpeleka International na Wimbo wake wa wingolo, Alikiba hushinda mombasa na Joho, Venessa kama haujui Amesomea university Kenya..

Currently most of them make more shows in Kenya than Tz, maskini hata hamuwezi waaford sahii kuwalipa.
Mtabaki kushabikia mambo mazuri ya nchi zingine wakati mumeshindwa hata kupunguza ukabila na njaa, punde mtaanza kusema SGR ya Tanzania imekuwa designed Kenya, kwasababu tu is the best in Africa
 
form two leaver ndio role model wao...
wasanii kama sauti sol wenye wamesoma ndio nchi inafaa kujivunia...jamaa ata kujieleza vizuri hajui...sikiza interviews zake
 
Diamond ni Kenya ilimpeleka International na Wimbo wake wa wingolo, Alikiba hushinda mombasa na Joho, Venessa kama haujui Amesomea university Kenya..

Currently most of them make more shows in Kenya than Tz, maskini hata hamuwezi waaford sahii kuwalipa.
Huna akili wewe Diamond alianza kujulikana Internationally na Wimbo wake Remix aliomshirikisha Davido- my number one hana nyimbo inayoitwa wingolo, na kuhusu Vanessa mdee alisomea Catholic university of east Africa na ni kawaida kwa universities maana hata viongozi wakubwa Wa Africa wamesomea UDSM Tanzania, Huyo Alikiba kushinda huko sio kesi maana Prezzo, Huddah na wengine kibao wamenunua na nyumba kabisa Tz na weekend zote wapo huku.. Wasanii wote hao Alikiba Diamond na wengine wote wanafanya shoo nyingi tu Tz juzi tu walikua kwenye FIESTA na wamezunguka nchi nzima ngombe wewe.. Kenya music is Trash, I can't waste my time listening to Kenya's Music, Diamond amekuja huko pia kusajili Wanamziki watakao Ingia kwenye label yake and boosting up your shityy music
 
form two leaver ndio role model wao...
wasanii kama sauti sol wenye wamesoma ndio nchi inafaa kujivunia...jamaa ata kujieleza vizuri hajui...sikiza interviews zake

kuna success nyingi maishani yeye hakufanikiwa kwenye elimu lakini amefanikiwa kwenye biashara ya music na mwingine anaweza kuwa successful kwenye elimu na akashidwa kwenye mambo mengine yote. ndio ni role model wetu kwani ametoka kutokuwa na kitu chochote wala elimu hadi kufikia hapo alipo kwa juhudi zake. sasa kwanini asiwe role model wa mtu.
 
Back
Top Bottom