Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

form two leaver ndio role model wao...
wasanii kama sauti sol wenye wamesoma ndio nchi inafaa kujivunia...jamaa ata kujieleza vizuri hajui...sikiza interviews zake
Saut sol wakwapi naomba unioneshe makaburi yao😀😀😀😀
 
wale vijana majobless wa kikenya mnaochukia mafanikio ya watanzania haya sasa chukieni na hii.

diamond platnumz is now an official land owner in kenya.mwenye wivu ajinyonge.

View attachment 715070
NB:
the guy whom some kenyans mock for speaking broken english is now owning land in kenya.
Wakat hawa mbwiga humu hawana hata harufu ya ardhi hahahah diamond anawaumiza sana wakenya hahahah😀😀😀
 
Govt to tarmac 4,000km of road in four years
By the end of 2016, Kenya mnlikua na jumla ya 15,981km za tarmacked roads, 14,000Km zilizojengwa na serikali zilizopita, na 1,981Km zilijengwa na serikali ya Jubilee. Tanzania ilikuwa na 17,000Km katika kipindi hicho hicho, kumbuka Tanzania ni kubwa mara mbili ya Kenya, kwahiyo percentage ways Kenya itaonyesha mara mbili ya Tanzania, jifunze kutafsiri hizo data.
Tanzania iko na 5000km wacha Ku cook facts hapa
 
Dar - Twitter

DX5M1TDX0AEGq2n.jpg
 
Nowonder you call them Dormitories.. Hazina tofauti na zashule.. Come to Kenya and See what real estate is.
And imagine Kigamboni is their equivalent of Lavington or kileleshwa. Hii Kigamboni ni mtoto sana hata kwa Hurligham
 
All these you get them in your day light dreams, how can you make more money while you are jobless, your economy is collapsing, National debts is the highest in East and central Africa, are you talking about those 8300 Kenyans and wazungu who own 62% of your GDP?
We are making more money because there are more millionaires in Nairobi alone than Tanganyika and Zanzibar combined
 
Tanzanians let's go back to BRT and the 3blue buildings.. Ukitoa hizo hakuna kitu cha kudiscuss na nyinyi..

Ichomama na Joto.. please mo side views of BRT
They will bring photos of brt next to those three blue towers in different angles with a screaming caption of MIAMI!!! Americans should sue them for this
 
Tanzania iko na 5000km wacha Ku cook facts hapa
Lete ushahidi tafadhali, mikoa yote ya Tanzania imeunganishwa kwa lami, hakuna mkoa hata mmoja au eneo lolote la Tanzania ambalo halijaunganishwa kwa lami, huko kwenu sehemu kubwa ya northern na northen east hakuna lami.
 
Mjue kwamba mnapaswa kuwa humble ili jamii iwakubali, majirani zenu wote wanawakimbia kwa sababu ya tabia zenu za kijinga za kujifanya mnajua kila kitu, kupenda sifa za kijinga wakati hamna kitu zaidi ya njaa, ukabila, slums, police killings, tribalism, terrorism na unemployment.."work in silence, let your success to be your noise"
Tuko na vitu vingi zaidi ya majirani zetu. We are the most important country in this region. The biggest and most vibrant economy this part of the world. The country with the highest literacy levels in east Africa, we have the highest number of dollar millionaires in this region, the biggest middle class population in east Africa, etc etc. Hasira zako itabidi ulie kwa choo leo
 
Mayb nikusaidie hapo ...kwann maskini wengi wa Nairobi huishi kwenye nyumba za tope? Uliwah ona nyumba ya tope Dar? Kama nbo cement ghali uko ushago wanaishije
Najua hii itabaki kuwa ngumu kwenu kukubali ila ukweli wa mambo ni kwamba Nairobi iko na mitaa bora tena zilizopangwa vizuri kuliko dar. Kutaja taja jina kibera hapa won't change that fact.
 
Unayap yap nini sasa wewe. Give three reasons why anyone who knows what a least developed country is should compare it to a middle income country. The fact that you are building a few nice infrastructures does not mean you are now suddenly Kenya's mates. You need decades of sustained development just to convince anybody that you are worth listening to. The LDC status is reviewed every three years and the WB has not found you worth of upgrading. There was a documentary on Tanzania's slums on DW a few weeks ago and the poverty levels was astonishing. Sasa the worst part ni uzembe yenye ilikuwa inaonekana kwa miili za hao watu. You just feel there is no way they can get themselves out of poverty unless through becoming musicians. No creativity, poor education, nothing!
People should learn to keep to thdir lanes. Lanes please Tanzanians, Kenya is not your equal
 
Back
Top Bottom