Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani unapoambiwa 1500 na ushehe KmSq unahisije kwa mfano...

Unahisi ni kutoka JKIA unapita Embakasi mara Pangani mara paap umetokea CBD eeh...
Acha asira kijana mdogo. Nimeuliza hivyo coz hapo hapakai ni mahi iko ndani ya jiji. inakaa mtaa fulani najua kule Kitale sitataja jina
 
Omg.. Is this really in KENYAAAAAAA!!!???? Mnawezaje kujisifu wakati kuna hali mbaya kiasi hiki huko Kenyaaaa... Tanzania is waaaaaay ahead of Kenya Kama maisha ya wakenya wengi ndio haya

Mbona mkawekwa kwenye kikundi cha 48 most poorest countries in the world?
 
Kwani unapoambiwa 1500 na ushehe KmSq unahisije kwa mfano...

Unahisi ni kutoka JKIA unapita Embakasi mara Pangani mara paap umetokea CBD eeh...
Unajifanya sana unajua Nairobi wakati unasikia tu redioni. Mtu akipitia Embakasi anatokeaje tena pangani? Ama wewe bora tu unajua majina mawili matatu za mitaa za Nairobi!
 
Tanzanians let's go back to BRT and the 3blue buildings.. Ukitoa hizo hakuna kitu cha kudiscuss na nyinyi..

Ichomama na Joto.. please mo side views of BRT

Nyerere Bridge

28433876_1000701570077233_2152743801821593600_n.jpg
 
international rnb singer Omarion is in kenya for an album launch of diamond platnumz but he neither post photos nor location to show to his fans that he is kenya.

why is he doing so?.check his instagram page you will see what i'm talking about. is kenya not exciting him to perform or what?. smh

i swear he wouldn't do such an act if he were in dar es salaam. we would make him feel home.

you should thank diamond platnumz b'se at the moment he is the only superstar who gives kenya mileage by mentioning it on instagram.he does so purposely to promote his album.
povu ruksa.

View attachment 714788
I believe there was a translator in that room. some nigga is speaking kinyamwezi packaged as English
 
Hakuna kitu husumbua mtanzania kama Kenya na wakenya.......Hata wanaogopa free movement of people across east Africa ati Kenyans will take over all their jobs and country......hahaha .which is very true
Very true. We are an an industrious people and go-getters. mix that with ubunifu and you have one lethal concoction these lazy chaps can't stand
 
Lete ushahidi tafadhali, mikoa yote ya Tanzania imeunganishwa kwa lami, hakuna mkoa hata mmoja au eneo lolote la Tanzania ambalo halijaunganishwa kwa lami, huko kwenu sehemu kubwa ya northern na northen east hakuna lami.
For 10 mks tuonyeshe informal settlements next to Nasra towers😀😀😀 na usijifanye kipofu tafadhali😉😉
3ad29179-b103-46a4-bf41-a943b3b0900b.jpg
 
Very true. We are an an industrious people and go-getters. mix that with ubunifu and you have one lethal concoction these lazy chaps can't stand
Lakini pamoja na yote hayo unayojisifia, bado mnashindwa kupambana na
1)Njaa
2)Unemployment
3)Uchumi unasuasua hadi mnakopa kwa kila project
4)Utalii unakufa, mnazidiwa na Uganda hawana beach wala mbuga za wanyama kama mlizonazo ninyi
5)Mumeshindwa kupunguza rushwa
Mnachokijua vizuri kuliko vyote ni kupenda sifa za kijinga pekee
 
Good Boy at least sasa umeonyesha the slums side by side with yor Nasara Towers...hebu angalia to the left side of this picture. Ukweli unadhihirika kwa mihemko ya hasira kukimbizana na Kenya.🙂🙂

Hiyo ni industrial area na hivyo unavyoviona ni viwanda vidogo vidogo kama machine shops, Dar imejengeka sana na inamajengo ya kumwaga mpaka nje ya jiji.
 
Hapo siyo CDB, gerezani ipo nje ya city centre, Dar kubwa wewe acha kabisa.
Realy! And what about those three blue towers visible in the pic? Did they move to gerezani overnight kutoka cbd?Huwezi danganya mtu mwenye macho na akili
 
For 10 mks tuonyeshe informal settlements next to Nasra towers😀😀😀 na usijifanye kipofu tafadhali😉😉
3ad29179-b103-46a4-bf41-a943b3b0900b.jpg
Hizo ni karakana za vijana unatengenezewa kitu chochote hapo, panaitwa gerezani, kuazia taa ya Koboroi, jiko la BBQ hadi ukitaka customize gari yako ilete hapa itapat
 
Hiyo ni industrial area na hivyo unavyoviona ni viwanda vidogo vidogo kama machine shops, Dar imejengeka sana na inamajengo ya kumwaga mpaka nje ya jiji.
An industrial area right next to the cbd?!? Something ain't right somewhere. Hii Dar yenu inazidi tu kustaajabisha kila kuchao.
 
For 10 mks tuonyeshe informal settlements next to Nasra towers😀😀😀 na usijifanye kipofu tafadhali😉😉
3ad29179-b103-46a4-bf41-a943b3b0900b.jpg
Haha
Mkuu eeh kama huna unalolijua kuhusu Dar ni heri ukae kimya tuu
Unapoambiwa hapo ni Gerezani means ni part ya Kariakoo

On the left side hizo small buildings zinatengeneza moja ya mitaa maarufu kwa spears za magari na vya gereji
Kumbuka Kariakoo kila mtaa una specification zake

On the right side ndiko kunakoanzia reli ya kati means ndiko Dar Station ilipo, vivyo hivyo ile flyover ya SGR itaanzia hapo right side kwa ukiacha hiyo Nasra Tower then chap kwa hiyo barabara then ile flyover ndo itaanzia hapo

We Mwasiti na ndugu zako nendeni UN mukawaambie mmeisahau Dar es salaam kwenye list ya slum..

Shubamiiiiiiiiit
 
Hizo ni karakana za vijana unatengenezewa kitu chochote hapo, panaitwa gerezani, kuazia taa ya Koboroi, jiko la BBQ hadi ukitaka customize gari yako ilete hapa itapat
Ndinda you mean that's an industrial park right next to the cbd? Halafu those buildings on the far left si ni kariokoor? Dar lacks good plan, that's all I can say
 
Back
Top Bottom