Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

chai maharage usafiri wa MLDC hahha😀😀😀😀😀
5e0aa69a-1953-4b44-85f9-f0e90eda5608-jpeg.668292
Mkebe unasura mbaya kichizi
 
I thought you called them dormitories........of course the national housing cooperation has to be the one building you estates... in Kenya it's done by private individuals or sacco societies
Mbona unajieleza sana tunataka picha
 
Good Boy at least sasa umeonyesha the slums side by side with yor Nasara Towers...hebu angalia to the left side of this picture. Ukweli unadhihirika kwa mihemko ya hasira kukimbizana na Kenya.🙂🙂
we jamaa hizo ni slum??Uhuru Odinga njoooni mchukue vijana wenu
 
licha ya kwamba majobless ya kikenya yanambeza kwa kuzungumza broken english, mainstream tv zao zinajisikia fahari kupanga kufanya nae interview. viva tanzania.
IMG_20180315_153322.jpg
 
licha ya kwamba majobless ya kikenya yanambeza kwa kuzungumza broken english, mainstream tv zao zinajisikia fahari kupanga kufanya nae interview. viva tanzania. View attachment 715669
you are beoming too complainant mzee😀😀😀 mbona una machungu sana unadhani kila mtu ana wivu kama wewe😛😛 tuliza boss. wacha diamond aishi maisha yake.
 
you are beoming too complainant mzee😀😀😀 mbona una machungu sana unadhani kila mtu ana wivu kama wewe😛😛 tuliza boss. wacha diamond aishi maisha yake.
Muhimu mkubali pale mnaposhindwa, sio kubadilisha goal post ili kuridhisha ego zenu, Wawekezaji na wakenya wakija Tanzania, mnasema Kenyans are aggressive hamsemi Tanzanians have got money, ila watanzania wakija huko hamsemi Tanzanians are aggressive bali mnasema Kenyans have money, stupid.
 
you are beoming too complainant mzee😀😀😀 mbona una machungu sana unadhani kila mtu ana wivu kama wewe😛😛 tuliza boss. wacha diamond aishi maisha yake.
si mnasema anazungumza broken english.tunawaambia kila siku kujua kuzungumza kingereza sio mafanikio ya kila kitu hamtaki kusikia.

haya sasa pamoja na broken english yake jana kakabidhiwa title deed.

nyinyi na vingerereza vyenyu bakini kupiga porojo.
 
Back
Top Bottom