Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wametumia silaha zote walizonazo. Mwisho wa siku Dar imewachapa vibaya sana.
Tumewachapa kwenye usafi
Tumewachapa kwenye usafiri
Tumewachapa kwenye majengo mazuri
Tumewachapa kwenye Beaches
Tumewachapa kwenye culture
Tumewachapa kwenye chakula
Tumewachapa kwenye stadard of living
Tumewachapa kwenye economic inclusion
Tumewachapa kwenye entertainment
Tumewachapa kwenye Health care
Tumewachapa kwenye reasonable projects.

Everything, everything is Dar.
Hakuna mbongo mwenye matamanio ya kuja kutembelea Nai kwa lengo la kutalii but Wakenya ndio wengi. Most Tanzania prefer SA, China, UK, Dubai, USA kwa sababu wanaweza kuona mazuri.
Watanzania hawapendi uchafu so ni wachache sana almost zero wanaweza kwenda kenya kwa lengo la kula maisha maana Nairobi na Mombassa ni pachafu sana na pananuka.
Kijana mkenya NIKIPUNGA WEWE PUNGA TU.
Umesahau 92% of Dar is a slum na hapo mnatuchapa hands down.
 
Umesahau 92% of Dar is a slum na hapo mnatuchapa hands down.
au tutoe nairobi tueke dar😛😛😛😛😛😛😛
429207a5-68a7-4648-878e-646e9da98097-jpeg.700940
 
Back
Top Bottom