Haya mambo ya sijui "below poverty line" msiyachukulie kwa pupa, huwezi ukarundika nchi zote kwenye gunia moja na kusema "hawa ni masikini" eti kwa kuwa wanapata kipato cha chini ya dola moja.
Hiyo dola moja mtanzania anakula vizuri sana na kubakisha.
Wenzenu wanaposema, "chini ya dola moja" kwenye nchi zao ni umasikini kweli kweli. Sana sana utakachonunua ni grandma's cookies kwenye vending machine kama hapo chini inavyoonesha bei yake ($0.85).
View attachment 715096
Lakini kwa bongo hivyo vipimo havina mashiko kiivyo kwa kuwa unapata msosi wa nguvu kwa chini ya dola moja.
Huu msosi kuna jamaa alisema kwao tabata ubaya ubaya
mamantilie wanauza kwa Tsh1000 ambayo ni sawa na "four dimes four pennies" ($0.44), kwa rate ya $1=Tsh2255.
Sasa wewe jirani unaongea ongea tuu bila hata ya kufikiri eti kwasababu "wamesema"?