Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulitaka kuona apartments nzuri ??wakat ubongo wko ulishaucommand usione macho yako yatafanya nn
Kizuri cha jiuza, Tz hamna kizuri ukija kwa makazi... Nikisema makazi simaanishi nyumba moja moja bali eneo fulani...
 
Unafwata za jirani wako sana hadi unasahau shida zenyu...

Poor Tz
Mjue kwamba mnapaswa kuwa humble ili jamii iwakubali, majirani zenu wote wanawakimbia kwa sababu ya tabia zenu za kijinga za kujifanya mnajua kila kitu, kupenda sifa za kijinga wakati hamna kitu zaidi ya njaa, ukabila, slums, police killings, tribalism, terrorism na unemployment.."work in silence, let your success to be your noise"
 
Umewahi calculate ukubwa wa nchi yenu vs pop compare tz then useme wap huzaa kama Panya ,ikiwa nchi yenu ni ndogo kwa Tz lakin mko zaidi ya million 45 ninyi ndio huzaa zaidi
Kenya wako 50m kaka
Tanzania ina 54.3 na juzi nimeleta link hapa
 
Kizuri cha jiuza, Tz hamna kizuri ukija kwa makazi... Nikisema makazi simaanishi nyumba moja moja bali eneo fulani...
Mayb nikusaidie hapo ...kwann maskini wengi wa Nairobi huishi kwenye nyumba za tope? Uliwah ona nyumba ya tope Dar? Kama nbo cement ghali uko ushago wanaishije
 
With poor security, hunger,corruption,poor healthcare..

We still manage to live longer than them, make more money than them, Export more than them, sport more than them, Make kenya abigger brand than them.....

WHO BEWITCHED TANZANIA?????

Mchawi wa Loliondo 😀
 
Kenya wako 50m kaka
Tanzania ina 54.3 na juzi nimeleta link hapa
Icho unakunywa whisky gani mkuu nanunua na mbuzi upande....sasa Yule nyumbu alikua anaongea nn wakat nchi yao ndogo sana kuliko yetu
 
some of the very attractive places in tanzania tourists are dying to visit.
IMG_20180314_152615.jpg
IMG_20180314_152618.jpg
IMG_20180314_152806.jpg
IMG_20180314_152808.jpg
IMG_20180314_152811.jpg
IMG_20180314_152814.jpg
IMG_20180314_153230.jpg
IMG_20180314_153235.jpg
IMG_20180314_153245.jpg
IMG_20180314_153257.jpg
IMG_20180314_153410.jpg
IMG_20180314_153458.jpg
IMG_20180314_153516.jpg
IMG_20180314_153617.jpg
IMG_20180314_153758.jpg
IMG_20180314_153802.jpg
IMG_20180314_153822.jpg
IMG_20180314_153833.jpg
IMG_20180314_153836.jpg
 
Hebu tafuta mahala mulipo😱😱
Least_Developed_Countries.png

PR12040f1_en.jpg

aldc_LDCs_map_large.jpg

16_05.jpg

ldc.jpeg

This sums up the reason why this thread is worthless. Kenya is being forced to a competition with Tanzania, a country that requires at least half a century to be where Kenya was 30 years ago.
 
pia wanazaana sana..nchi maskini ukiona ivo
umesahau kwamba hapo kenya single mothers ni wengi sana.wewe mwenyewe nahisi umelelewa na single mother. you don't know who your real father is

na sababu kubwa ya uwepo wa idadi kubwa ya single mother hapo kenya ni poverty and unemployment.

mnajazana mimba ilhali hamna uwezo wa kulea watoto pamoja. matokeo yake mnakimbia majukumu na kuacha madem zenyu wanasota wakilea watoto alone.

na hao watoto ndio hao machokoraa wanaoleta shida CBD kwa kufanya ukora.
IMG_20180314_155541.jpg
IMG_20180314_155419.jpg
 
Mjue kwamba mnapaswa kuwa humble ili jamii iwakubali, majirani zenu wote wanawakimbia kwa sababu ya tabia zenu za kijinga za kujifanya mnajua kila kitu, kupenda sifa za kijinga wakati hamna kitu zaidi ya njaa, ukabila, slums, police killings, tribalism, terrorism na unemployment.."work in silence, let your success to be your noise"
Nani ametukimbia sasa? Kusign agreement sio kila kitu, till now Rwanda and UG uses mombasa Port.. when you take the business from Kenya, we can seat down and talk. Haujui nyangau vizuri..

We are very tribal but we love our country.. No one will attack Kenya and go free.
 
This sums up the reason why this thread is worthless. Kenya is being forced to a competition with Tanzania, a country that requires at least half a century to be where Kenya was 30 years ago.
eeh eeh 30 years??

yaani 1988
Kenya LDC
Tanzania LDC
 
Alafu mbona Dar ni vigumu sana kutofautisha slums na middle income or high income areas? Dar es salaam mitaa zote zinafanana shilinginkwa ya pili halafu hazina mpangilio jinsi hiyo picha unavyodhihirisha. Ukiingia google earth utaona nyumba za mabati zilizotapakaa kila mahali bila mpangilio wowote. Ndio maana siku zote tunaita huu mji wenu slum city

This kikuyu is unknowingly trying to ask why people are more equal in Tanzania.

He is wondering why Tanzania doesn't have kiberas next to Karens 🙂
 
Mayb nikusaidie hapo ...kwann maskini wengi wa Nairobi huishi kwenye nyumba za tope? Uliwah ona nyumba ya tope Dar? Kama nbo cement ghali uko ushago wanaishije
Tembea Kenya... Maneno haitakusaidia.. watu watabaka lachini wanamaisha poa vijijini kizidi Nairobi..
 
eeh eeh 30 years??

yaani 1988
Kenya LDC
Tanzania LDC

1988

Kenya - Developing Country
Tanzania - LLDC ama VLDC (least least developed country ama very least developed country).

A country is classified among the Least Developed Countries if it meets three criteria:[2][3]

  • Poverty – adjustable criterion based on GNI per capita averaged over three years. As of 2018 a country must have GNI per capita less than US $1,025 to be included on the list, and over $1,230 to graduate from it.
  • Human resource weakness (based on indicators of nutrition, health, education and adult literacy).
  • Economic vulnerability (based on instability of agricultural production, instability of exports of goods and services, economic importance of non-traditional activities, merchandise export concentration, handicap of economic smallness, and the percentage of population displaced by natural disasters).
Yaani a least developed country is a country whose most suitable definition of status ni maskini hohe hahe. 95 % of everybody is just poor
 
kwa kujipa shughuli tuu, hamjambo aisee

Kwahiyo ukaenda kufukua makaburi wee, naona roho yako sasa kwatuuu
 
Back
Top Bottom