Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2013 mlikua ldc ,hata Tz ikiwa D.C. kesho hatuwez cheka Burundi au Uganda
Unajua hawa hua wanafkiri mzungu anaangalia LDC hzo ni ranks tu kinachokuja kwenye swala la maendeleo na wananchi wanakwepa hawataki kuskia so kutakua na maana gani kua MLDC wakat huna chakula na wananchi wanaishi kwenye worse slums in the world?? Kuna maana gani kua kwenye MLDC wakat nchi haina security huku unemployment ikiwa kubwa karibuni africa nzima na bado below poverty line rank ya kenya ni 46% hahahha
 
Hebu tafuta mahala mulipo😱😱
Least_Developed_Countries.png

PR12040f1_en.jpg

aldc_LDCs_map_large.jpg

16_05.jpg

ldc.jpeg

Kenya deserves an award.. .weh.......majirani zetu hoi bin hoi.
 
Unajua hawa hua wanafkiri mzungu anaangalia LDC hzo ni ranks tu kinachokuja kwenye swala la maendeleo na wananchi wanakwepa hawataki kuskia so kutakua na maana gani kua MLDC wakat huna chakula na wananchi wanaishi kwenye worse slums in the world?? Kuna maana gani kua kwenye MLDC wakat nchi haina security huku unemployment ikiwa kubwa karibuni africa nzima na bado below poverty line rank ya kenya ni 46% hahahha

You should know 70% of Tanzanians survive on below 1.25 dollars a day.
 
why is your life expectancy lower than kenyas?
With poor security, hunger,corruption,poor healthcare..

We still manage to live longer than them, make more money than them, Export more than them, sport more than them, Make kenya abigger brand than them.....

WHO BEWITCHED TANZANIA?????
 
Back
Top Bottom