danja de genzo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 544
- 812
sasa hapo nikuulize unaelewa nini hapo
buda acha ufalathe longest and modern BRT in africa eat that😀😀😀😀😀😀 tafuta brt africa yenye urefu zaidi ya 20km ukipata nitag
😀😀😀 hilo jiji ni kama jehanamu,uko keen kuangalia os GANI NATUMIA, anyway most people downgrade from windows 10 to windows 7 dude...inategemea coformance to your usage. tena we ueona kama hii ni laptop?
haha hatupendi ushamba, nyumba unapaka rangi ndani
na nairobi haiko area ya bahari kama Dar
😀😀😀 hujui basic geography ya primary? umetumia scale ya 2km hebu angalia dar nikitumia pia scale ya 2km
hvi ww unajua kwann dar BRT tunaita longest and modern sasa sikiza kwa amakini nikupe elimubuda acha ufala
Rea Vaya is a bus rapid transit system operating in Johannesburg, South Africa. It opened in phases starting on 30 August 2009. Rea Vaya links the Johannesburg CBD and Braamfontein with Soweto. It is currently expanding towards Sandton, Rosebank and Midrand as well.It is one of the first bus rapid transit systems in ...
Line length: 59 km (37 mi)
Owner: City of Johannesburg
Stations: 58
Services: 21 routes
You have danced to my tune, you see? that's precisely what I wanted to hear from you. Now danganyikan, wazungu wanaomiliki ardhi kwnya wamezikodisha, japo kuna waxhache wanaomiliki hizo ardhi. Halafu most of these farms are concentrated in two or three counties,mostly Nakuru, Naivasha and Laikipia counties. In Laikipia for instance, they own conservancies if you know what that is. So yes, most of them lease these pieces of land mostly for a period of 99 years. Next question?
Iko Africa Champions League. Yanga na Simba wako wapi?Gor mahia iko wap😀😀😀
Acha kelele wewe, huu mpango wa Kibera upgrading ulianzishwa na UNhabitat miaka mingi iliyopita chini ya Prof.Tibaijuka, baadae mradi ulisimama kutokana na mipango mibovu na matumizi mabaya ya fedha kama ilivyo kawaida ya Kenya, sasa hivi ni zaidi ya miaka 7 tangu huo mradi ulipozikwa katika kaburi la sahau.Ndio maana nikasema ukatae ukubali, sio lazima ukubali ila huo ndo ukweli. Na wewe mwanatandale unaposema unajua nairobi vizuri na mimi mkazi wa hili jiji hutaki kukubali nichosema unataka tukusaidiaje. Hizo picha za kibera upgrading ziko nyingi tu na nitazileta uchoke
Utajua wewe na shangazi yako,dunia yote inajua slums za kufa mtu zipo kenya-nairobi-kibera.
hahahahha ww ndio unajua na hawa walioeka hapa wanajua😀😀😀😀😀😀😀 hujui basic geography ya primary? umetumia scale ya 2km hebu angalia dar nikitumia pia scale ya 2km
View attachment 713464
Utajua wewe na shangazi yako,dunia yote inajua slums za kufa mtu zipo kenya-nairobi-kibera.
Acha kelele wewe, huu mpango wa Kibera upgrading ulianzishwa na UNhabitat miaka mingi iliyopita chini ya Prof.Tibaijuka, baadae mradi ulisimama kutokana na mipango mibovu na matumizi mabaya ya fedha kama ilivyo kawaida ya Kenya, sasa hivi ni zaidi ya miaka 7 tangu huo mradi ulipozikwa katika kaburi la sahau.
Hii ndio kitu inapambanishwa na Nairobi! Nkt. Halafu utasikia mtu mzima na akili zake akisema wanamiliki dream houses in Dar. Dunia simama nishuke...!
😀😀😀😀😀 kilio chako naskia na hukuhvi ww unajua kwann dar BRT tunaita longest and modern sasa sikiza kwa amakini nikupe elimu
phase 1 hio ni 21.7km
phase 2 ni over 27km
phase 3 ni over 35km
phase 4 and 5 and 6😀😀😀😀
na hapo ukumbuke phase 2 na 3 zinaanza ujenzi kwa pamoja mwezi wa tano
tuliza akili budaa usiwe mpuuzi😛😛😛😛😛
Mngeanza kwa kupaka zile kofia za nyumba zenu zenye kutu rangi kwanza. Jiji nzima imejaa nyumba za mabati zenye kutu alafu mnasema ni city!Pakeni rangi aisee yani mna manufacture rangi halafu nyumba mnaacha zinapauka kama magofu.
Wewe lia hakuna mtu atakusaidia kilio hehehe kama uliota hii ni ile tz ya 90 umechelewa sana😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kilio chako naskia na huku
ngeli ya TUTA as usual😛😛😛
longest in africa 😀