MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,088
- 35,418
Kinachowazuia kuwaondoa ka kuwarudisha kwao ni nn???hujioni ka ni mjinga kulalamika kwa kitu mnachoweza kukimaliza within a week...???Afadhali iyo lkn omba omba na chokora msa uoni ni aibu
We jitetee na njaaa lkn ..nyie washamba 2Kinachowazuia kuwaondoa ka kuwarudisha kwao ni nn???hujioni ka ni mjinga kulalamika kwa kitu mnachoweza kukimaliza within a week...???
Saa kama omba omba wa tz hamuwezi kuwaondoa mnabaki mnalalamika...mtaweza kweli kufuta njaa nyie wajamaaa ???idiots
Mnataka kutumia kisingizio hicho ili kuonyesha kwamba ninyi ni watu wazuri kwa watanzania ili tuendelee kuwapa chakula, kwasababu bila ya chakula toka Tanzania wakenya watakufa kwa maelfu.
hiyo ni bomba kabisa
Kwa iyo gov ya odinga au hehe mnaserikal uchwara nyiekenya haina gava sio?😀😀😀😀danganya mwingine sio mkenya
they always pray that Kenya fails....wanafiki sana hawa jamaa


nikweli kabisa KENYA mkifanikiwa ROHO INAUMA ILE MBAYAAAA, Nikiskia Slums zimeongezeka, KIU JIJINI, Political Unstable, Surviving for Dog Milk, Bei ya Unga imepanda, Ukame na Njaa ya kutupwa NAFURAHI SAAANASafaricom ndio nn?iyo ndio kampuni pekee ya simu kenya sasa uku ziko mob...Kuna wakati inashuka mpaka
Think of it,Safaricom's annual turnover only is bigger than Burundi's national GDP! It's a fact Nairobi's GDP will go round that of Tz in circles
Hehehe ww Mauritius, Botswana, Namibia, Algeria,Tunisia angalia GDP zao...Kenya Ni ujinga mtupuactually, without SA, Nigeria, Egypt and Kenya, there is no Africa...to some extent, I add Morocco, Angola and Ghana
😀😀😀 hasira hasara ndugu tatizo nyie ndio munataka ushindani sasa kamasi zitawatokeni mdomoniWee jamaa mshamba.kweli....sisi.kujicompare na nyie..... We unaota 2....nendeni kwa ligi zenu Mozambique
Mnakua mwendo wa kinyonga na iyo tiny economy yenu hujishtukii tu Hamna roundKenya muezi ifikia.....labda clashes iwe 20 years
The Crazy Experience of Bus Journey from Nairobi to Mombasa
I missed the good bus companies because I reached the bus station late in Nairobi, and then I had to travel in this local bus which was a crazy experience for me. Nairobi to Mombasa travel by bus was 10 hours and the ticket cost $10
wewe umeshaangalia Gdp zao kwanza au waropoka tu?Hehehe ww Mauritius, Botswana, Namibia, Algeria,Tunisia angalia GDP zao...Kenya Ni ujinga mtupu
Haijulikan na shangaz zako ambao shule walishindwaUna kiherehere...mob...ata iyo.tz haijulikani East africa
Gdp zao pop zao na gdp per capital wametuach mbali sana, kwanza wapo wachache kwahyo uchumi wao ni mkubwawewe umeshaangalia Gdp zao kwanza au waropoka tu?
Gdp per Capita wako sawa.Gdp zao pop zao na gdp per capital wametuach mbali sana, kwanza wapo wachache kwahyo uchumi wao ni mkubwa
Hii ndio nairobi duu awa sio levo zao inabidi washindanshwe na kampalaHahaha hii video imeniacha hoi kwa kicheko
1.Bus la hovyo kabisa
2. Hapo hakuna Bus stand hovyo hovyo
3. Uchafu umetapakaa kona zote