Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I repeat, SA, Nigeria, Egypt and Kenya form Africa..hizi ndizo tunaziita swing states...bila nchi hizi, Afrika si Afrika...povu tumezoea
Kati ya nchi hizo ulizotaja, tutajie ni mambo gani Kenya inalingana nazo?, zaidi ya sifa mnazolazimisha, Kenya kamwe hakuna mtu anayeweza kuifikiria na kuiwaza, zaidi mnacholinganisha ni GDP, hata walala hoi wenzenu wanaokufa kwa njaa kama ninyi hapo Ethiopia hamuwafikii, vipi Egypt au Angola?
 
Niambie sifa gani..... Juu wee maembe 2 omba omba wtz wamejaa.Kenya kilacounty
 
Nigga u dont need to stay in Nairobi for thirty years to see their success. Mh point was watu wanabisha bila reference, mwingine aniongelea Nairobi as if ashwahi ku as much as kwenda ila ni kuona tu kwenye Tv na mitandao, mwingine anaongela Dar as if ameshafika while anaiona tu kwenye mitandao na Tv, the best judge here is someone who is neutral and has atleast been to both places even if just once.
Are you neutral?, may be. Is Kenya more democratic than Tanzania?, but according to International rankings, Tanzania is leading in EA, which rankings are you using to support your points?.
 
Kuna wakati inashuka mpaka

Think of it,Safaricom's annual turnover only is bigger than Burundi's national GDP! It's a fact Nairobi's GDP will go round that of Tz in circles
Hehehe safari com has the branches in whole over Kenya, being with a headquarters in Nairobi does not mean the company is generating all that money with kiberans only..? Recent boycotting was done by kiberans only in which safari com faced some heavy consequences.?
 
Sisi kama wakenya vile tunaishi..Tanzania..... Hamna k2.... Nilipo ends kuinunua....peremende utamkuta bongolala akiwa na calculate r
 
Vipi kuhusu majambazi tunaowashikilia huku katika magereza?, vipi kuhusu wakenya tunaowasaka na kuwarudisha kwasababu ya kuishi vila vibali?
 
Nigga u dont need to stay in Nairobi for thirty years to see their success. Mh point was watu wanabisha bila reference, mwingine aniongelea Nairobi as if ashwahi ku as much as kwenda ila ni kuona tu kwenye Tv na mitandao, mwingine anaongela Dar as if ameshafika while anaiona tu kwenye mitandao na Tv, the best judge here is someone who is neutral and has atleast been to both places even if just once.
You are too young to this thread in all aspects especially exposure maturity & reasoning capacity, huna mbele wala nyuma go back to some early pages and grow strong with them.
 
Afadhali iyo lkn omba omba na chokora msa uoni ni aibu
Kwahiyo majambazi wanaowaibia watu na kuwapiga risasi watu wasiokuwa na hatia kwako unaona ni hafadhali kuliko mtu anayeomba?, ndiyo sababu tunawafukuza huku kwetu na South Africa wamewakatalia kuingia nchi yao bila Visa pamoja na kuwabembeleza na kuwalamba miguu.
 
MTU lazy atambuliwi kabisa.....
oja=hoja.

wakenya ndio majitie.
 
Back
Top Bottom