Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo majambazi wanaowaibia watu na kuwapiga risasi watu wasiokuwa na hatia kwako unaona ni hafadhali kuliko mtu anayeomba?, ndiyo sababu tunawafukuza huku kwetu na South Africa wamewakatalia kuingia nchi yao bila Visa pamoja na kuwabembeleza na kuwalamba miguu.
Una kiherehere...mob...ata iyo.tz haijulikani East africa
 
Una kiherehere...mob...ata iyo.tz haijulikani East africa
Upumbavu huo wa kujulikana na kujisifu is made in Kenya, hakuna nchi ingine duniani inayopenda kujulikana wakati njaa, insecurity, unemployment, slums, corruption vimetamalaki lakini hawashughuliki navyo.
 
Aya yote yako uko kwenu..ni vile Media zenu zinafutia sana kuihusu kenya
Hakuna media hata moja ya Tanzania inayoandika au kutangaza habari za Kenya, habari zote za Kenya tunazipata toka media zenu, fuatilia quotations zetu, zote zinatoka media za Kenya, zaidi ya uchaguzi wa Kenya, Tanzania hawana kitu cha kufuatilia huko, kwasababh taarifa nyingi za Kenya ni kuhusu mambo mabaya tu, ukabila, insecurity, alshaabab, njaa, rushwa, ajali, na siasa za kikabila.
 
Kuna wakenya mitaa yetu walikuja kama waganga wa kienyeji wakitokea mombasa. Wengine washakuwa vichaa na ombaomba.
 
Hakuna media hata moja ya Tanzania inayoandika au kutangaza habari za Kenya, habari zote za Kenya tunazipata toka media zenu, fuatilia quotations zetu, zote zinatoka media za Kenya, zaidi ya uchaguzi wa Kenya, Tanzania hawana kitu cha kufuatilia huko, kwasababh taarifa nyingi za Kenya ni kuhusu mambo mabaya tu, ukabila, insecurity, alshaabab, njaa, rushwa, ajali, na siasa za kikabila.
Jichanganye tu lkn media zenu zina penda sana ubea humu Kenya
 
Morogoro Mpaka Dar Es salaam.
Tazama Safari Ya kutoka Morogoro kwenda Dar es salaam nchini Tanzania umbali wa 183 kilomita. Yote yaliyojiri njiani utaweza kuyaona na pia nimekuonesha stendi nzuri na mbaya sana katika hii miji miwili.

Source: Kimbweta Lifestyle
 
Dar Es Salaam Tanzania the New York of East Africa
Dar es Salaam in Tanzania is called the New York of East Africa. but to me the city center of Dar es Salaam look like Toronto 🙂 so my first day in Tanzania is in this vlog where I tried to show you Dar es Salaam city center and the high rise buildings.

Source: FlyingToWorld
 
The Crazy Experience of Bus Journey from Nairobi to Mombasa

I missed the good bus companies because I reached the bus station late in Nairobi, and then I had to travel in this local bus which was a crazy experience for me. Nairobi to Mombasa travel by bus was 10 hours and the ticket cost $10

Back
Top Bottom