Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu hicho kinapanda upanga
ECC05308-515D-43BB-9EF6-C40EA90FDCC6.jpeg
2C527BAE-DC8D-4C0D-A352-C2C7AEAA4CB3.jpeg
 
Smart person always spends more time on planning phase and less time in implementation, stupid person rushes in implementation part, as the result he ends up with low quality, expensive and unfinished projects.
gud
 
good afternoon comrades,
one thing that most of these muggers are not aware about tazara flyover is that it has a special lane for brt.

i repeat, tazara flyover has a special lane for brt.could be the the first BRT-flyover in EA.

it will take centuries for kenya to have flyovers of this kind.

c9655ef38ea67094f838960524f686d0.jpg
26fc25bda3506c63f338f43c65564b65.jpg
482b6af57ebf7561e31b81d38440afde.jpg
5670985e9790846c172e4aed896ee5eb.jpg
f7f4b837eabdf987de14afd2c2992b2d.jpg
53269af6455c75d392f15ca8083867a5.jpg
Outering road pia kuna space ya brt.
 
Outering road pia kuna space ya brt.
yaani ilimradi tu msikae kimya... hiyo brt ya outering inapita magari gani?...embu tuonyeshe aina ya gari zinazopita kwenye hiyo brt lane "yenyu" .

wakati huohuo jiongezee maarifa kuhusu maana nzima ya brt na aina ya gari zinazoruhusiwa kupita kwenye lane ya ''BUS RAPID TRANSIT".

c601a3dda1dbc045556b43e038c1f5a9.jpg
 
good afternoon comrades,
one thing that most of these muggers are not aware about tazara flyover is that it has a special lane for brt.

i repeat, tazara flyover has a special lane for brt.could be the the first BRT-flyover in EA.

it will take centuries for kenya to have flyovers of this kind.

c9655ef38ea67094f838960524f686d0.jpg
26fc25bda3506c63f338f43c65564b65.jpg
482b6af57ebf7561e31b81d38440afde.jpg
5670985e9790846c172e4aed896ee5eb.jpg
f7f4b837eabdf987de14afd2c2992b2d.jpg
53269af6455c75d392f15ca8083867a5.jpg
good newz......ujue mikenya ni kunguru sana wao wanajenga vitu for nothing wanadhani kujenga highway ni fashion...

hicho kitu kitawacost milele hawajifunzi toka tanzania....jinsi tunavyojenga vitu kulingana na mahitaji na ile ya ubungo ikikamilika kuna kuwa hakuna flyover yakinyamwezi kama yetu ya tz east n central africa
 
good afternoon comrades,
one thing that most of these muggers are not aware about tazara flyover is that it has a special lane for brt.

i repeat, tazara flyover has a special lane for brt.could be the the first BRT-flyover in EA.

it will take centuries for kenya to have flyovers of this kind.

c9655ef38ea67094f838960524f686d0.jpg
26fc25bda3506c63f338f43c65564b65.jpg
482b6af57ebf7561e31b81d38440afde.jpg
5670985e9790846c172e4aed896ee5eb.jpg
f7f4b837eabdf987de14afd2c2992b2d.jpg
53269af6455c75d392f15ca8083867a5.jpg
Aisee hii Route watatakiwa Walete Mabasi Mengi sana, Ikiwezekana hata mabasi ya gorofa..
 
Mombasa ni mji mchafu sana, nlikuwa hapo Last week, barabara za hovyo mashimo mashimo, ni vile vigari pathetic mnaita matatu,what a shithole city
Ata me nlikua dar last month mji ovyoooo...unapotoka tu cbd unakutana na vitu vya ajabu, barabara shida daaah ata sijui mnaishi vipi........alafu ile airport huwa mnaisifia hapa I swear eldoret international airport ni better...........but I agree with you Mombasa imekua chafu offlate hope viongozi watashugulikia hilo jambo
 
Dar ulifikia wap na wap barabara ni shida
 
Ata me nlikua dar last month mji ovyoooo...unapotoka tu cbd unakutana na vitu vya ajabu, barabara shida daaah ata sijui mnaishi vipi........alafu ile airport huwa mnaisifia hapa I swear eldoret international airport ni better...........but I agree with you Mombasa imekua chafu offlate hope viongozi watashugulikia hilo jambo

stop wasting so much of your time on these people......
 
Back
Top Bottom