BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,034
- 2,523
Hapo amesema alikosa good buses juu ya kuchelewa...ni kusoma huwa hamjui ama....video inakaa ya kitambo pia.Hii ndio nairobi duu awa sio levo zao inabidi washindanshwe na kampala
Hapo amesema alikosa good buses juu ya kuchelewa...ni kusoma huwa hamjui ama....video inakaa ya kitambo pia.Hii ndio nairobi duu awa sio levo zao inabidi washindanshwe na kampala
jitayarishe bas kupatwa na heart attack....kenya inapaa roho itakuuma ufe😀😀😀😀nikweli kabisa KENYA mkifanikiwa ROHO INAUMA ILE MBAYAAAA, Nikiskia Slums zimeongezeka, KIU JIJINI, Political Unstable, Surviving for Dog Milk, Bei ya Unga imepanda, Ukame na Njaa ya kutupwa NAFURAHI SAAANA
pole kwa hasira ila hizo ni nchi hata huwa hazisikiki kamwe....kama tu tz na togoHehehe ww Mauritius, Botswana, Namibia, Algeria,Tunisia angalia GDP zao...Kenya Ni ujinga mtupu
tiny GDP😀😀😀😀Mnakua mwendo wa kinyonga na iyo tiny economy yenu hujishtukii tu Hamna round
nanyi na Mogadishu😀😀😀😀nchi LDc wenzenuHii ndio nairobi duu awa sio levo zao inabidi washindanshwe na kampala
The Crazy Experience of Bus Journey from Nairobi to Mombasa
I missed the good bus companies because I reached the bus station late in Nairobi, and then I had to travel in this local bus which was a crazy experience for me. Nairobi to Mombasa travel by bus was 10 hours and the ticket cost $10
Kenya herself is a heart Attack, Kanchi kadogo lakini mnashindwa kukaendeleza Je mngekua na Nchi kubwa kama Tz ingekuaje?jitayarishe bas kupatwa na heart attack....kenya inapaa roho itakuuma ufe😀😀😀😀
GDP per capita zao ziko juu sababu ya population ndogo...hakuna sababu nyingine....hizo ni nchi hata watu hawajafika 5 million...wangekuwa 45 million sasa ndio ungejionea mazingaombwe ila hakuna lolote hapo...Gdp zao pop zao na gdp per capital wametuach mbali sana, kwanza wapo wachache kwahyo uchumi wao ni mkubwa
sasa tuko mbele yenu tayari we una sema nn?😀😀😀😀 tumewabana koo tuna vutia investments zote...tuna uchumi mkubwa kuwa shinda licha ya luwa kanchi kadogo... nchi kubwa maskini wa kutupwa LDC😀😀😀😀 bure kabisaKenya herself is a heart Attack, Kanchi kadogo lakini mnashindwa kukaendeleza Je mngekua na Nchi kubwa kama Tz ingekuaje?
I repeat without SA, Nigeria, Egypt and Kenya, there is no Africa😀😀😀😀endleeni kukasirika lakini ukweli ndio huo...


hivi umetumia kigezo gani kupanga foleni moja na south,nigeria na egypt???Jibu ni rahisi sana kama per capital yenu ni 1400$ unawezaje sema commulative gdp ni$ 75bln ?????tiny GDP😀😀😀😀
Kenya GDP 75B
Tz GDP-47B
neno tiny skuizi limebadilisha maana yake au?
Shangazi zake wamekimbia umande
Lagos, Johannesburg, Cairo, Nairobi... Ever wondered which cities in Africa are the richest?hivi umetumia kigezo gani kupanga foleni moja na south,nigeria na egypt???
maana hao wote gdp zao ni zaidi ya 150b wakati nyie mko na 60???
buda wakenya mna akili za namna gani???
Jibu ni rahisi sana kama per capital yenu ni 1400$ unawezaje sema commulative gdp ni$ 75bln ?????