In the 19's kenya was almost dead due to Moi, in 2002
Same here the Kenya of 90's is not thesame..
For your infor in 2002 kenya grew by negative two ifact the gap between Tz and Kenya was 5b, it was projected tz will surpass kenya in less than 5years.. Today the gap is over 20b and keeps widening...Keep dreaming nigga.
tafuta data sahihi
😀😀😀 usitegemee data za kupika ndizo zitawasaidia huo uchumi kenya uko wap??
ikiwa debt to GDP ratio ni 60% na leo mumefkia hatua yakukopa debt to pay debt bado unajipa matumaini kuna uchumi
munaenda kujenga SGR iliopitwa na wakat 20 yrs ago tena kwa bei mbaya sana inaeza kugharimu kulipa deni hilo zaidi ya 50 yrs according to economists
gari moshi from msa to nai 470km cost 4b usd
😀😀
kweli safari hii mumepata mjanja na bado cost of operations zimekua kubwa mpaka reli ya mizigo inakosa wateja na huku ya abiria nauli zimepanda sana
economy from 700 to 1200ks
1st class 3000 to 5100ksh bado unaona sawa tu
😛😛
alaf leo munawaza electric wakat is too late mushaharibu na kupoteza alot of money ambayo imeingiza nchi kwenye dimbwi kubwa sana hakuna sector inayofanya vzr kenya zote zinapumulia mashine, kq ndio usiseme inakufa huku inajitazama
😀😀😀
utalii ndio kwisha kabisa labda sector muliobakiza inapumua ni uchukuzi i mean bandari lakin zilizobaki kwisha leo njaa inatikisa nchi one good year hakuna better solution huku inflation unazidi kupaa na kuumiza uchumi
uhuru kenyatta hatakiwi kushindana na tanzania kwasabbau tanzania ina resources nyingi sana na ndio zinaanza kutumika sasa lasivo ataingiza hio nchi kwenye giza kama vile IMF walivomuonya kwenye debt
uchumi wa tanzania unakua kwa kasi sana kwasababu ndio inaanza kutumia resources zake na serekali imejitahidi kubana matumizi na kubana wizi wa pesa za umma ndio maana unaona magufuli pesa anayo yakutosha anajenga reli electric modern train in africa phase one na two 722km 3.16b usd kwa pesa zake mwenyewe, kanunua ndege 7 kwa pesa zake more than 1b usd, barabara nyingi zinajengwa, anajenga biggest dam in EA kwa pesa zake 2b usd, juzi katoa almost 500m usd kusambaza maji na kuchimba visima kwenye vijiji zaidi ya 13000, ukija kwenye kilimo tanzania inafanya vyema sana katoa kodi zote za mazao ndio maana tumecontrol inflation one year 4%, ukija kwenye madini kabana hajuna madini kutoka nchini na anajenga soko kubwa la tanzanite arusha, yani sijui kama 5 yrs mutaonekana humu
😀