Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa upande wa nyumba pekee tunaongoza east Africa in all aspect...check this out
955d71ca999b043ff5de9ee31338113c.jpg
f5cae07bfc348ac125585de8c345117a.jpg
 
hata si jambo la kucheka...ni jambo la huzuni sana...sasa mnajigamba kufufua airline 2018 wengine kama SAA, KQ na Ethiopian airlines tufanyeje?
Kumbuka hakuna mtu atapitia Nairobi ili aje tz for that sake...lakini labda utaelewa mambo yakianza. ..nikuache
 
meanwhile ndege hizo hizo nio zinawabebea watalii...yaani mna chekesha sana nyie😀😀😀watalii asilimia 99 wanabebwa na ndege za nje🙁🙁🙁
kuna direct flights kutoka nchi nyingi sana tena bahati nzuri zipo zinatua zanzibar, dar na kilimanjaro direct flights 😀😀😀😀😀
 
afadhali tunafufua by cash purchase sio nyie mume lease aircrafts zote kutoka kwa wenye pesa😀😀😀

na mbaya zaidi mwaka jana mumerudisha 6 aircrafts kutokana na loss inayowatafuna vyema


Plane leasing deals leave Kenya Airways with Sh4 billion loss

Can you get your facts right! The 6 a/c were leased off by KQ hence generating revenue instead of flying with less optimum capacity. That way they put the equipment in a viable mode than escalating operations cost or having them parked idle (A profitable aircraft is the one in the skies). Learn something!
 
kuna direct flights kutoka nchi nyingi sana tena bahati nzuri zipo zinatua zanzibar, dar na kilimanjaro direct flights 😀😀😀😀😀
zikwapi?😀😀😀😀kisha uniambie ndege zipi hizo za tanzania sijawahi kuziskia 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom