Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,291
- 3,647
pambana na hali yakoCorrection ,ukikosa point unakaba hadi uandishi...kufulia kubaya
pambana na hali yakoCorrection ,ukikosa point unakaba hadi uandishi...kufulia kubaya
Ulichozungumza sicho nilichosema, nimesema Kenya Airways ni one of the best Airlines in Africa while Air Tanzania inaendeshwa kwa hasara. That is what I said na si vinginevyo, if u re going to reply to my comment at least uni quote ndo u raise hoja yako, hakuna mahali nimesema KQ inaendeshwa kwa faida, what I said is, KQ is one of the best Airlines in Africa. Kuhusu KQ kuendeshwa kwa faida au hasara I don't know, u can make a call to Kenya Airways and ask them that. [HASHTAG]#Fatality[/HASHTAG].Kq inajiendesha Kwa faida?
Husemi degree 31 ikizidi sana 32 kurudi nyumaafadhali....kwa sababu joto la 35 degrees hapo ni matatizo tu na vile waislamu wana mazoea ya kujifunika funika duh!!!
hapa kuna mazumbukuku hata ukirudia kuwaeleza mara mia moja bado hawataelewa....Ulichozungumza sicho nilichosema, nimesema Kenya Airways ni one of the best Airlines in Africa while Air Tanzania inaendeshwa kwa hasara. That is what I said na si vinginevyo, if u re going to reply to my comment at least uni quote ndo u raise hoja yako, hakuna mahali nimesema KQ inaendeshwa kwa faida, what I said is, KQ is one of the best Airlines in Africa. Kuhusu KQ kuendeshwa kwa faida au hasara I don't know, u can make a call to Kenya Airways and ask them that. [HASHTAG]#Fatality[/HASHTAG].
Wabongo wengine bwana, sijui hawajui kusoma hawajui ku argue. I wrote in brackets kuwa "it's no one's fault" au hukukiina hicho kipande?Hali ya hewa inahusu?sijaona point bado...
Walinifukuza ndio ndo imebidi nirudi.vip walikufukuza baada ya juzi kukamatwa miongoni mwa ombaomba au ilikuwaje ukarudi???
Mkurupukaji huyuAfuu unawezaje compare coastal city na inland city kwa kusema Nairobi Hamna bandari?so did you expect Nai to have one?Karibu kua makini apa hatutak story Za kitoto
Okey fine,endelea kutupa views zakoWabongo wengine bwana, sijui hawajui kusoma hawajui ku argue. I wrote in brackets kuwa "it's no one's fault" au hukukiina hicho kipande?
And yes hali ya hewa ni factor pia, kwasababu sehemu ambayo hali ya hewa ni favourable inavutia uwekezaji na watu kuja.
Also kwenye hali ya hewa favourable hakuna matumizi mengi ya A/C so that means less energy consumption, to "some" thats a factor.
unaleta habari za 2013 wakati tuko 2018???![]()
![]()
popoyo Nyang'au atabisha![]()
Wabongo wengine bwana, sijui hawajui kusoma hawajui ku argue. I wrote in brackets kuwa "it's no one's fault" au hukukiina hicho kipande?
And yes hali ya hewa ni factor pia, kwasababu sehemu ambayo hali ya hewa ni favourable inavutia uwekezaji na watu kuja.
Also kwenye hali ya hewa favourable hakuna matumizi mengi ya A/C so that means less energy consumption, to "some" thats a factor.
Punguza hasira sio mimi ni data. Tupatie za 2018unaleta habari za 2013 wakati tuko 2018???
Umeambiwa kwenye ujenzi Dar ime simama?? Mtali sana hapo ni Vïctoria Kijitonyamanawahurumia tu...Pinacle, Avic, 88 tower, Montave zitawamaliza tu...
lete link. kama huna, lete list ya above 20flrs in dad is slum hapa na mimi nilete yangu tuanze kuhesabuPunguza hasira sio mimi ni data. Tupatie za 2018
unaleta habari za 2013 wakati tuko 2018???
unaleta habari za 2013 wakati tuko 2018???
Hakuna mtu anakera kama mtu asiyejua kusoma anajikuta mzungumzaji, usibishe bila sababu wewe, bisha kwa hoja na usipende kuchukua vitu vidogo visivyo na mantiki ukavishikia bango.Afuu unawezaje compare coastal city na inland city kwa kusema Nairobi Hamna bandari?so did you expect Nai to have one?Karibu kua makini apa hatutak story Za kitoto