Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pia mtambue kuwa mnapo ongelea swala la hali yahewa nzuri kati ya TZ na KE, Tanzania tunańgoza kwenye hilo swala.
 
Nai hata huwzi ukaiweka yote kwenye picha moja brathe...kisha Nai kuna estates na CBDs...sio kila mtu amejiksuanya pale CBD kama viberiti😀😀😀haijulikani kama ni CBD ama ni estate...wote wapo pale

buda mazungumzia majengo marefu,si unaona akili yako ilivyo???

unataja estates,kwa picha ya mfano ule pale juu,dwarf estates kama za nai utazionaje???
 
hehe so unataka kujifananisha na mt kilimanjaro??
be serious bro the world free standing mountain, ngorongoro crater the biggest crater in the world😀😀
selous game reserve the biggest faunal reserve in the world, na inasemekana selous inasimba wengi zaidi africa, kitulo national park ina maua yakipekee duniani hakuna sehemu nyingine utapata, usijifananishe na tanzania utaumia bure
Pia mwambie the longest trees in Africa are found in Tanzania
Screenshot_20180210-193342.png
 
Unaiyongeleaje Dubai na Oman kuhusu swala la joto?? Hauna point hapo. Just shut up
Usi panic ndugu, infacy Dubai is not that hot, the hottest it gets ni 36 degrees na in January its winter for them, today Dubai ipo hadi 21 degree na lowest kabisa ni 15 degrees that's the factor.
Dubai wako na mafuta, sasa tunashindana nao vipi? Kuhusu Oman na nchi zingine kuendelea sio lazima kila nchi iliendelea iwe na foreign investors, nyingine zina endelezwa na wanachi wenyewe, mfano hata Kenya inapata maendeleo yake from Tanzania pia kwasababu they have maby industries there na wana export na sisi tuna consume, kwa kunazia tu Tanzania haina viwanda vingi kama Kenya so thats one of fhe reasons why Kenya inaendelea mbele.
Kwahiyo usisubiri baridi ili upate investors ili utajirike, sio kila kitu ni black and white some are actuay grey, sio kila nchi imeendelea kwa kuwa na foreign investors.
 
jitekenye mpaka uridhikehata ng'ombe za kollo zinakushangaa.

embu taja hapa hizo 13
sasa mimi ndio nikuletee list ya over 20flrs in dar is slum??? huenda hata zisifike kumi maana huko hadi Malls pia munaweka kwenye list
 
Usi panic ndugu, infacy Dubai is not that hot, the hottest it gets ni 36 degrees na in January its winter for them, today Dubai ipo hadi 21 degree na lowest kabisa ni 15 degrees that's the factor.
Dubai wako na mafuta, sasa tunashindana nao vipi? Kuhusu Oman na nchi zingine kuendelea sio lazima kila nchi iliendelea iwe na foreign investors, nyingine zina endelezwa na wanachi wenyewe, mfano hata Kenya inapata maendeleo yake from Tanzania pia kwasababu they have maby industries there na wana export na sisi tuna consume, kwa kunazia tu Tanzania haina viwanda vingi kama Kenya so thats one of fhe reasons why Kenya inaendelea mbele.
Kwahiyo usisubiri baridi ili upate investors ili utajirike, sio kila kitu ni black and white some are actuay grey, sio kila nchi imeendelea kwa kuwa na foreign investors.
endelea kuongea upuuzi😀😀😀😀
45C32AF4-A669-4BE8-93F8-71AF342C4682.jpeg
 
kwahiyo elimu yako wewe sasa imekusaidia kuto tofautisha asili ya eneo na vitu vilivyojengwa?? auhujagundua jamaa ameshangaa nini??

basi useme nai kuna baridi na dar hakuna baridi.
And another one bites the dust. Daaah. If mimi mwanadamu tu napata tabu na watu wawili au mmoja, what about God who has to judge all of us. Mungu ana kazi kubwa sana kwa kweli.
 
And another one bites the dust. Daaah. If mimi mwanadamu tu napata tabu na watu wawili au mmoja, what about God who has to judge all of us. Mungu ana kazi kubwa sana kwa kweli.
wewe mtanzania ??? tuanzie hapo
 
We kijana unamaajabu mno, ndio umekuja kutuelekeza what battle is all about okay we got you,
Unaleta ujinga wakiandika insha zilizojaa pumba tu,get lost!!
You see. Exactly what am talking about. Haya bwana, wacha ninyamaze maana hakuna namna.
 
sasa mimi ndio nikuletee list ya over 20flrs in dar is slum??? huenda hata zisifike kumi maana huko hadi Malls pia munaweka kwenye list

buda kwani ni kushindana???mimi nimekubali hakuna hata moja nai zipo 200 abv 20fl.nitajie hata hizo 13 za dar unazozijua.
 
Back
Top Bottom