Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unafaa uishi nairobi hata wiki moja tu...weather shwari kabisa..huko Dar sijui huwa mnaishi aje huko..nchi yenye joto kana kwamba mpo kwenye oven...hivi nikuulize, watu huwa wanavaa suti wakienda kazi kweli na joto hilo lote??
Uliabiwa bila suti huwezi kufanya kazi? Pia suti nivazi la wazungu. Kinacho fanya kazi sio suti.
 
Hakuna mtu anakera kama mtu asiyejua kusoma anajikuta mzungumzaji, usibishe bila sababu wewe, bisha kwa hoja na usipende kuchukua vitu vidogo visivyo na mantiki ukavishikia bango.
The comparison is between Nairobi and Dar es salaam, its not about which part of Kenya Nairobi, and when u said "unawezaje compare costal city na in land" that was exactly the comparison tangu mwanzo, stupid!!! Kwani kwa vigezo vingine vilivyotolewa mbona hukusema kuwa coastal na in land? Au vile tume raise mambo ya bandari then all of a sudden it matters if Nairobi is just inland and Dar es salaam is coastal. Nigga educate yourself, the comparisson is between Dar es salaam and Nairobi so tunalinganisha what is in Dar and in Nairobi na sio what is in the whole country, kwani unafikiri sijui kuwa Kenya ina bandari, tena ipo Mombasa, au unadhani sijui kama Nairobi ni inland, ofcourse lazima itakosa bandari, but the comparisson is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania. I repeat, the comparison is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania.
#Rest_in_peace_common_sense.

kwahiyo elimu yako wewe sasa imekusaidia kuto tofautisha asili ya eneo na vitu vilivyojengwa?? auhujagundua jamaa ameshangaa nini??

basi useme nai kuna baridi na dar hakuna baridi.
 
Wewe pimbi unaejifanya unaijua Nairobi na Dar es salaam pitia hapa. Alafu unaanza kulinganisha miji na hali ya hewa. Unaongeleaje Dubai penye joto au UK penye baridi. Nani kakwambia humu tupo kwenye utabiri wa hali ya hewa?? Usifanye unaijua Dar mbona huongeleï service kama BRT pimbi ww. Sisi humu tunaongea na evidence sio maneno ya kwenye kanga ambayo hata Somalia yapo. Toa evidence tutoe evidence. Humu atuongelei wasanii, soma tittle ya thread, its about Dar vs Nai. Point of collectionView attachment 693588 View attachment 693589
Sawa ndugu point of collection but katika vyote ulivyoona umechagua hicho tu cha kushikia bango, u argue like a child, mfano mtu akikosea kusema "maji" kwa bahati mbaya akasema "baji" basi we utalishikia bango neno "baji" lililokosewa instead of kusikiliza what the person is saying.
#deliver_us_from_ignorance.
 
It's not about physical infrastructure only but a whole package of consistent safety record of your planes in measurable capacity! You haven't even flown transcontinental anywhere and dream of going to US next month!? Sick joke...😀😀😀
so ww unadhani Air tanzania haijawah fanya safari za inter continental serious??😀😀😀😀😀
 
kwenye picha hio majengo yamewachana wachana gap kubwa kubwa? hata sijui huyo jamaa alikuwa anafiiri nini akileta picha hio....miji kama Abidjan na Luanda zipo na picha bora zaidi ukipiga kutoka hio angle...natumia mfano wa miji hii sababu nairobi haina bahari

babu hiyo ni maeneo manne tofauti yenye umbali wa 5km kila moja.

hapo kuna posta,kkoo,upanga,ostabay usitegemee yakawa karibu.

pamoja na kwamba nai imejikusanya sehemu moja tu,but jengo ni moja moja.
 
Hakuna mtu anakera kama mtu asiyejua kusoma anajikuta mzungumzaji, usibishe bila sababu wewe, bisha kwa hoja na usipende kuchukua vitu vidogo visivyo na mantiki ukavishikia bango.
The comparison is between Nairobi and Dar es salaam, its not about which part of Kenya Nairobi, and when u said "unawezaje compare costal city na in land" that was exactly the comparison tangu mwanzo, stupid!!! Kwani kwa vigezo vingine vilivyotolewa mbona hukusema kuwa coastal na in land? Au vile tume raise mambo ya bandari then all of a sudden it matters if Nairobi is just inland and Dar es salaam is coastal. Nigga educate yourself, the comparisson is between Dar es salaam and Nairobi so tunalinganisha what is in Dar and in Nairobi na sio what is in the whole country, kwani unafikiri sijui kuwa Kenya ina bandari, tena ipo Mombasa, au unadhani sijui kama Nairobi ni inland, ofcourse lazima itakosa bandari, but the comparisson is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania. I repeat, the comparison is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania.
#Rest_in_peace_common_sense.
We kijana unamaajabu mno, ndio umekuja kutuelekeza what battle is all about okay we got you,
Unaleta ujinga wakiandika insha zilizojaa pumba tu,get lost!!
 
utalii wa tz umekua kwa sababu ya ugaidi toka jirani somalia...no other reason bro...let me make that clear...watalii waliokua wakija nchini walianza kuogopa and sinc tz also has similar wildlif (big Five), they started flocking ur country...na hiyo ni 2012 juzi tu...before then tumekuwa tukiongoza...ila ukitaka kubisha bisha tu...bora tu usitoe data puani kama ilivyo mazoea😀😀😀
wewe usisingizie ugaidi tanzania inavivutio vya kipekee duniani ambavyo kwenu ni ndoto😀😀😀 so usitafute sababu hazina kichwa wala mguu
 
taja moja tu...kama ni mlima nasi pia tunao...kama ni wanyama pia tunao...kama ni beaches pia tunao...
 
babu hiyo ni maeneo manne tofauti yenye umbali wa 5km kila moja.

hapo kuna posta,kkoo,upanga,ostabay usitegemee yakawa karibu.

pamoja na kwamba nai imejikusanya sehemu moja tu,but jengo ni moja moja.
Nai hata huwzi ukaiweka yote kwenye picha moja brathe...kisha Nai kuna estates na CBDs...sio kila mtu amejiksuanya pale CBD kama viberiti😀😀😀haijulikani kama ni CBD ama ni estate...wote wapo pale
 
Wewe jamaa hamnazo kabisa.Unaongelea hali yahewa, currency na wasanii.wewe hamnazo. Jaribu kuja kivingine.Hivi unataka kutwambia KQ wanaingiza faida??Hata wakenya wanakushangaa.
Hakuna mtu anakera kama mtu asiyejua kusoma anajikuta mzungumzaji, usibishe bila sababu wewe, bisha kwa hoja na usipende kuchukua vitu vidogo visivyo na mantiki ukavishikia bango.
The comparison is between Nairobi and Dar es salaam, its not about which part of Kenya Nairobi, and when u said "unawezaje compare costal city na in land" that was exactly the comparison tangu mwanzo, stupid!!! Kwani kwa vigezo vingine vilivyotolewa mbona hukusema kuwa coastal na in land? Au vile tume raise mambo ya bandari then all of a sudden it matters if Nairobi is just inland and Dar es salaam is coastal. Nigga educate yourself, the comparisson is between Dar es salaam and Nairobi so tunalinganisha what is in Dar and in Nairobi na sio what is in the whole country, kwani unafikiri sijui kuwa Kenya ina bandari, tena ipo Mombasa, au unadhani sijui kama Nairobi ni inland, ofcourse lazima itakosa bandari, but the comparisson is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania. I repeat, the comparison is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania.
#Rest_in_peace_common_sense.
 
taja moja tu...kama ni mlima nasi pia tunao...kama ni wanyama pia tunao...kama ni beaches pia tunao...
hehe so unataka kujifananisha na mt kilimanjaro??
be serious bro the world free standing mountain, ngorongoro crater the biggest crater in the world😀😀
selous game reserve the biggest faunal reserve in the world, na inasemekana selous inasimba wengi zaidi africa, kitulo national park ina maua yakipekee duniani hakuna sehemu nyingine utapata, usijifananishe na tanzania utaumia bure
 
Back
Top Bottom