Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa hii ndio nn nawe?? we huoni aibu kupost picha kama hii ilio na majengo ya kuhesabika na gaps kubwa kubwa kati kati...tafta similar pics za miji ya baharini kama Cape town, abidjan, Dakar, na Luanda ujionee..picha zilizochukuliwa from that angle

nitumie ya Nai kwa stail hii ikiwa na majengo yaliyokalibiana.ukiipata nakupa hela.nai majengo yako mbali mbali kama transfomer za mitaa.
 
unafaa uishi nairobi hata wiki moja tu...weather shwari kabisa..huko Dar sijui huwa mnaishi aje huko..nchi yenye joto kana kwamba mpo kwenye oven...hivi nikuulize, watu huwa wanavaa suti wakienda kazi kweli na joto hilo lote??
Dar kwa joto ni kweli hua lifukuta vilivyo, suit wenye gari zao binafsi sio swali la kuuliza 7bu hutumia a.c.
 
Oooh nikiongeza tu, if the comparison is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania. Then in terms of cities, Dar ina bandari and Kenya doesn't.
Dar ina bandari na Kenya doesnt? Hivi kichwani upo vizuri? Naona umevamia thread. Pia vizuri alafu uludi
 
Dar kwa joto ni kweli hua lifukuta vilivyo, suit wenye gari zao binafsi sio swali la kuuliza 7bu hutumia a.c.
huwa nachukia sana nchi zenye joto...ndio maana hata Mombasa kuenda mimi ni sababu ya kujivinjari tu na wala si biashara...siwezi hata nikawekeza shilingi yangu Mombasa hata kuwe na nini...joto la Pwani hapana!!! no no no no no!!! never never!! mtu hajafika hata kazini pale Kariakoo CBD ashaanza kupambana na jasho...
 
Haha pole, jasho ndio pesa yenyewe lakin don't forget that
 
niwakumbushe kuwa nchi zenye baridi huwa zina perform vizuri kiuchumi kuliko nchi zenye joto kali
 
huwa nachukia sana nchi zenye joto...ndio maana hata Mombasa kuenda mimi ni sababu ya kujivinjari tu na wala si biashara...siwezi hata nikawekeza shilingi yangu Mombasa hata kuwe na nini...joto la Pwani hapana!!! no no no no no!!! never never!! mtu hajafika hata kazini pale Kariakoo CBD ashaanza kupambana na jasho...

buda kwa ofisi kuna AC ukitaka natural unaenda ufukweni kuna upepo mzuri tu.halafu centre hakuna joto kihivyo sababu ni baharini.

labda huku pembezoni ktk makazi ya watu.
 
buda nataka kuona density ya nainaomba picha design ile pale juu.
kwenye picha hio majengo yamewachana wachana gap kubwa kubwa? hata sijui huyo jamaa alikuwa anafiiri nini akileta picha hio....miji kama Abidjan na Luanda zipo na picha bora zaidi ukipiga kutoka hio angle...natumia mfano wa miji hii sababu nairobi haina bahari
 
buda kwa ofisi kuna AC ukitaka natural unaenda ufukweni kuna upepo mzuri tu.halafu centre hakuna joto kihivyo sababu ni baharini.

labda huku pembezoni ktk makazi ya watu.
afadhali....kwa sababu joto la 35 degrees hapo ni matatizo tu na vile waislamu wana mazoea ya kujifunika funika duh!!!
 
Back
Top Bottom