Arnold Amos
Member
- Nov 11, 2014
- 46
- 31
Oooh nikiongeza tu, if the comparison is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania. Then in terms of cities, Dar ina bandari and Kenya doesn't.
Security vipiOooh nikiongeza tu, if the comparison is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania. Then in terms of cities, Dar ina bandari and Kenya doesn't.
Most of the people who comment under this thread wana ile ushabiki wa nchi yake lakini hawaongei ile hali halisi. Na worts is, wengi wanaozungumza hawajawahi tembelea hizo nchi mbili zote na wala hawajafanya research.
I have been in Nairobi and believe me ni pazuri kuliko Dar, thats the truth, tukubali tusikubali ndio ukweli.
Kwanza hali ya hewa kule ni nzuri kuliko Dar (which is no one's fault), Pesa yao iko vizuri, unaenda sokoni unapata kitu kinauzwa shillingi 45 Kenyan shillings wakati sisi tulishaacha na kutumia shillingi tano hadi zile shillingi ishirini na shillingi kumi, Airport ya Kenya ni nzuri na ni ya kamataifa kuliko ya Tanzania, Kenya kuna democracy ambayo hatuwezi linganisha na Tanzania nzima, Kenya wanafata sheria zao ambapo Tanzania unaweza kamatwa na huna kosa na bado ukazuiliwa dhamana na usitoke. Mwisho kabisa Kenya Airways ni moja kati ya the best Airline in the whole of Africa mean while Air Tanzania inaendeshwa kwa hasara. And the list goes on.
Tanzania kwa upande qswimwingine. tunasifiwa kwa kuwa na the largest shopping Market in East Africa that is Kariakoo.
Pamoja na yote bado am still a proud Tanzanian.
Kq inajiendesha Kwa faida?

i sense angerZenu ni vibanda vya ugoro
CC ichoboy01 tuusan mulisaaa mkorintoMost of the people who comment under this thread wana ile ushabiki wa nchi yake lakini hawaongei ile hali halisi. Na worts is, wengi wanaozungumza hawajawahi tembelea hizo nchi mbili zote na wala hawajafanya research.
I have been in Nairobi and believe me ni pazuri kuliko Dar, thats the truth, tukubali tusikubali ndio ukweli.
Kwanza hali ya hewa kule ni nzuri kuliko Dar (which is no one's fault), Pesa yao iko vizuri, unaenda sokoni unapata kitu kinauzwa shillingi 45 Kenyan shillings wakati sisi tulishaacha na kutumia shillingi tano hadi zile shillingi ishirini na shillingi kumi, Airport ya Kenya ni nzuri na ni ya kamataifa kuliko ya Tanzania, Kenya kuna democracy ambayo hatuwezi linganisha na Tanzania nzima, Kenya wanafata sheria zao ambapo Tanzania unaweza kamatwa na huna kosa na bado ukazuiliwa dhamana na usitoke. Mwisho kabisa Kenya Airways ni moja kati ya the best Airline in the whole of Africa mean while Air Tanzania inaendeshwa kwa hasara. And the list goes on.
Tanzania kwa upande mwingine. tunasifiwa kwa kuwa na the largest shopping Market in East Africa that is Kariakoo.
Pamoja na yote bado am still a proud Tanzanian.
Afuu unawezaje compare coastal city na inland city kwa kusema Nairobi Hamna bandari?so did you expect Nai to have one?Karibu kua makini apa hatutak story Za kitotoOooh nikiongeza tu, if the comparison is between Nairobi and Dar es salaam and not Kenya and Tanzania. Then in terms of cities, Dar ina bandari and Kenya doesn't.
sasa mmeamka kwnye utalii 2012 we unaongea nn?😀😀😀😀ebu sarch data ya Kenya tourist arrivals from 2005 to 2015 ujionee...tz is just a second choiceSasa waje Kenya kufanya nn buda?lakin kibera msiivunje inaweza saidia kukuza utalii
give us clear zones from an aerial view yawa....coz it's the same buildings at 3 different paranomic views
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickrwacha hasira ww....jamaa amekwambia ukweli wa mambo...Afuu unawezaje compare coastal city na inland city kwa kusema Nairobi Hamna bandari?so did you expect Nai to have one?Karibu kua makini apa hatutak story Za kitoto
sasa hii ndio nn nawe?? we huoni aibu kupost picha kama hii ilio na majengo ya kuhesabika na gaps kubwa kubwa kati kati...tafta similar pics za miji ya baharini kama Cape town, abidjan, Dakar, na Luanda ujionee..picha zilizochukuliwa from that angleSame buildings? 😀😀😀😀😀 nilijua tu hamtaamini macho yenu tena hilo eneo lote linaonekana hivi chini. yaani hili eneo ni 10 Kms from City center kutoka majengo mnayoyajua ambayo ni PSPF, TPS, BOT twin towers etc.
Hiyo ni kijitonmyama ina majengo kadhaa kama PPF HQ, Milenium towers, Paloma Paloma park, Morocco square, Ivory towers, Noble Victoria, Tan House etc.
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on Flickr
Remember that Kenya is a settlers country. You have many investors investing in yoir country while more that 70% of Dar es salaam is built on domestic success.
No its not true that you guys are better than us in every possible way, there are some where yoi lead and some we lead. Might I remind you that we speak better swahili, we have good music and our people are courteus, the same can not be said for Kenya, and that is just a few of the list of the things we have that you don't.
Mumjengee bandari pale athiriverwacha hasira ww....jamaa amekwambia ukweli wa mambo...
Kama Doha vile
unafaa uishi nairobi hata wiki moja tu...weather shwari kabisa..huko Dar sijui huwa mnaishi aje huko..nchi yenye joto kana kwamba mpo kwenye oven...hivi nikuulize, watu huwa wanavaa suti wakienda kazi kweli na joto hilo lote??Wewe pimbi unaejifanya unaijua Nairobi na Dar es salaam pitia hapa. Alafu unaanza kulinganisha miji na hali ya hewa. Unaongeleaje Dubai penye joto au UK penye baridi. Nani kakwambia humu tupo kwenye utabiri wa hali ya hewa?? Usifanye unaijua Dar mbona huongeleï service kama BRT pimbi ww. Sisi humu tunaongea na evidence sio maneno ya kwenye kanga ambayo hata Somalia yapo. Toa evidence tutoe evidence. Humu atuongelei wasanii, soma tittle ya thread, its about Dar vs Nai. Point of collectionView attachment 693588 View attachment 693589
Same buildings? 😀😀😀😀😀 nilijua tu hamtaamini macho yenu tena hilo eneo lote linaonekana hivi chini. yaani hili eneo ni 10 Kms from City center kutoka majengo mnayoyajua ambayo ni PSPF, TPS, BOT twin towers etc.
Hiyo ni kijitonmyama ina majengo kadhaa kama PPF HQ, Milenium towers, Paloma Paloma park, Morocco square, Ivory towers, Noble Victoria, Tan House etc.
The View From Kilimanjaro ferry 6 by indaressalaam, on
hahaha so mahali kuna tower tatu ni CBD hahaha.....We are talking of real business districts where money is generated in drones......
Stop comparing the currency and weather to development Saudi Arabia, Oman, UK and many other countries wako na bad weather condition lakini hakuna nchi hapa Africa inayo wafikia. Nchi pia kama Rwanda na Zambia currency zao ziko juu ya Tanzania lakini hazijafikia hata nusu ya maendeleo ya TZ. Mkuu point zako zakitoto kabisa.Most of the people who comment under this thread wana ile ushabiki wa nchi yake lakini hawaongei ile hali halisi. Na worts is, wengi wanaozungumza hawajawahi tembelea hizo nchi mbili zote na wala hawajafanya research.