Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It is na is ni kitu kimoja mbona mnajiaibisha na hii lugha ya malkia? You are making the Queen get mad
Wala hata sikutaka kumjibu, wajinga sana hao, kiingereza hawakijui, Kiswahili ni shida, wanachojua ni ukabila na lugha za makabila yao. Wakishindwa hoja, wanakimbilia kwenye kiingereza.
 
Wala hata sikutaka kumjibu, wajinga sana hao, kiingereza hawakijui, Kiswahili ni shida, wanachojua ni ukabila na lugha za makabila yao. Wakishindwa hoja, wanakimbilia kwenye kiingereza.
Kwa kweli japo kiingereza changu ni cha ngumbaru lakini shuleni English teacher aliniambia it's na is ni kitu kimoja kuendana na jinsi ulivyoitumia kwenye sentence achana na Ile his, her, it's, theirs lakini hiyo it's pia unaweza kuitumia kwenye sehemu ya is, ila hawa majirani ni wajinga wanayo Ile English ya kukariri kukremisha lakini ukimtaka maelezo yupo chaka kupita maelezo. Mtanzania English yake ni ya darasani siyo ya huko mitaani kama wakenya na wa Naijeria
 
IRB SEVENS(Hamilton)

Kenya 19-14 Samoa
Kenya 19-14 Canada
Kenya 19-19 USA

Kenya finishes top in pool D and will face Australia in the main cup quaters tomorrow
 
IRB SEVENS(Hamilton)

Kenya 19-14 Samoa
Kenya 19-14 Canada
Kenya 19-19 USA

Kenya finishes top in pool D and will face Australia in the main cup quaters tomorrow
Hii ni nini?
 
Leadership Centre | South C | 200 room hotel
64ab53f8c86dbfc27a61f9492c99e73a.jpg
 
Nyie ni juzi mlitoka apo ldc mwaka 2014 kama sijaskosea,sio kwamba mligradute 1994 uache ufala, so muda sio mwingi tutatoka group Ilo
Aliyewakataza kugraduate ni nani? Au mnangoja firimbi?
 
Wala hata sikutaka kumjibu, wajinga sana hao, kiingereza hawakijui, Kiswahili ni shida, wanachojua ni ukabila na lugha za makabila yao. Wakishindwa hoja, wanakimbilia kwenye kiingereza.
Mtanzania telling a kenyan kwamba hajui kizungu. lol, kama mnachoandika hapa ndani ndio kizungu acha tu nisijue kizungu
 
Huna unachokijua ww nanga, Nyerere enzi zake alitoa scholarships mob watu walisoma sana urusi, china, Quba na sehemu zingine...even madaktar wengi wazee zaidi ya nusu yao walisoma nje. ...
Huna unachokijua vunga tu,
Papasi tu

Tom Mboga also did the same......Obama's dad was among the lucky few to get the scholarships.....the rest is history
 
Mtanzania telling a kenyan kwamba hajui kizungu. lol, kama mnachoandika hapa ndani ndio kizungu acha tu nisijue kizungu
Sasa na waingereza watasema nini kuhusu English? Tanzania sie lugha yetu ni kiswahili hata English haitupi tabu sababu kiswahili kinatutosha na tunakipenda kuliko English ya England
 
Watanzania ikifika suala la ardhi mnyamaze kabisa hamna anayemilike ardhi huko
da4bcd70a6b37b62ad1fce83f6a7877b.jpg
 
Back
Top Bottom