Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,709
...yote tisa, kumi ni kwamba mnalease land kutoka kwa serikali yenu "tukufu". Ujinga na utumwa ulioje!Sifa za kuwa mmiliki wa kitu
Kuweza kukiuza kwa mwingine
Kuweza kukitumia kwa Uhuru bila kuomba ruhusa
Kuweza kukopea au kuweka rehani ili kuipata faida
Kuweza kukirithisha kwa umtakaye
Kuweza kukipa utambulisho uutakao
Kuweza kukiita mali yako
Kutambulika na mamlaka kama mali yako
Hizi na nyingine nyingi ni sifa za wamiliki wote wa ardhi Tanzania wana Uhuru ya kufanya yote hayo kwenye ardhi zao.