Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya tutumie common sense hapa....hapo juu mmetueleza kila mtanzania anamiliki ardhi Tanzania..swali inakua nini inachangia mtu kujengwa kwenye road reserve?
Watu wanaotoka mikoani na vijijini ambako huko ndiko kwenye ardhi zao, wanapofika mijini hasa Dar, wanapenda kuwa karibu na mjini, hasa karibu na barabara ili iwe rahisi kwenda na kurudi kutoka kazini.
 
Watanzania ikifika suala la ardhi mnyamaze kabisa hamna anayemilike ardhi huko
da4bcd70a6b37b62ad1fce83f6a7877b.jpg
Achana nao, they will try to say anything just to disprove your point. Utasikia hata wakisema the report doesn't talk about Tanzania. Wengine watabaki wakikutusi. Hawapendi kusikia ukweli hawa vilaza...Wanafikiri nchi yao ni tukufu isiyokua na dosari
 
Tatizo kubwa ni kwamba ninyi uelewa wenu ni mdogo sana, sasa itawezekanaje watanzania wote wawe na ardhi mijini?, hao wote waliovunjiwa ni kwasababu wapo mijini, specifically Dar, ila huko mikoani na vijijini walikotoka karibu wote wana ardhi tena kubwa tu, bahati mbaya kwa huku Tanzania sio rahisi kuhamisha ardhi kwenda nayo mjini, hivyo wakifika mjini wanavamia sehemu za wazi ikiwemo road reserve.
 
vilaza hawawezi kukuelewa...wanadhani ardhi ya dar ni kama ya nairobi ambayo yote inamilikiwa na wakikuyu wachache.
 
That's where Nyerere failed them big time! He was busy ''fighting'' for others' freedom and neglected his own in vijiji. Although blame is also to his successors and all Tz citizens,why can't they do land reforms?
Are you mentally confused?, all African countries are coming to Tanzania every year to learn on our land policy which is one among the best policies in the continent, you nyang'au are very lucky to be close to Tanzania, instead of coping our land policy as it was recommended by Kenya's Wako report on land reform,you are trying to protect your land policy which gave politicians and few rich people big part of arable land and left majority with nothing, read "This time tomorrow by Ngugi Wathiong'o". Am sure you know nothing about Wako report that's why you are talking nonsense.
 
Tatizo kubwa ni kwamba ninyi uelewa wenu ni mdogo sana, sasa itawezekanaje watanzania wote wawe na ardhi mijini?, hao wote waliovunjiwa ni kwasababu wapo mijini, specifically Dar, ila huko mikoani na vijijini walikotoka karibu wote wana ardhi tena kubwa tu, bahati mbaya kwa huku Tanzania sio rahisi kuhamisha ardhi kwenda nayo mjini, hivyo wakifika mjini wanavamia sehemu za wazi ikiwemo road reserve.
Na nyinyi nani aliwaambia kwamba wakenya walio vijijini hawana ardhi?
 
Achana nao, they will try to say anything just to disprove your point. Utasikia hata wakisema the report doesn't talk about Tanzania. Wengine watabaki wakikutusi. Hawapendi kusikia ukweli hawa vilaza...Wanafikiri nchi yao ni tukufu isiyokua na dosari

sasa atusiwe kwanini kwani nini cha uongo katika hiyo taarifa??

uone sasa ni kwanini tunakwambia ardhi ni mali ya wananchi,serikali ina wajibu wa kuwalipa ikiwa na kazi nayo.

ingekuwa kwa manyang'au ungesikia.majitu flani yamegomea serikali kupitisha barabara baada ya serikali kushindwa kufika bei kuwalipa.
 
hongereni kwa kushiriki katika rugby... mchezo wa kishoga... wanaume kulaliana.
Wewe ni chuki inakuua...Sisi tunawakilisha Africa katika ngazi ya kimaitaifa. There are only two teams from Africa that participate in IRB Sevens annually; Kenya and South Africa. We've even become IRB World Champions. Number mtazidi kuisoma
 
sasa atusiwe kwanini kwani nini cha uongo katika hiyo taarifa??

uone sasa ni kwanini tunakwambia ardhi ni mali ya wananchi,serikali ina wajibu wa kuwalipa ikiwa na kazi nayo.

ingekuwa kwa manyang'au ungesikia.majitu flani yamegomea serikali kupitisha barabara baada ya serikali kushindwa kufika bei kuwalipa.
In your dreams...uweje tuko na kilometa mingi za barabara kuwaliko?
 
Wewe ni chuki inakuua...Sisi tunawakilisha Africa katika ngazi ya kimaitaifa. There are only two teams from Africa that participate in IRB Sevens annually; Kenya and South Africa. We've even become IRB World Champions. Number mtazidi kuisoma
Hivi kuna faida gani kuwakilisha katika ngazi ya kimataifa wakati nyumbani mamilioni ya wananchi wanakufa kwa njaa?, huo uwakilishi unasaidia je watu kule Kibera wanaokunya katika mifukomya plastic?, au kwenu ni kupata sifa nje ya nchi lakini nyumbani mpo katika nchi za mwisho kwa maisha duni?.
 
Kenya's Wako report on land reform.
Hebu leta hiyo link inayosema kila mkenya anaeishi kijijini hana ardhi. Huku hatulease land kutoka kwa serikali. Huenda kuna wachache hawana ardhi kakini 90% ya wakenya wana ardhi, tena sio ya kulease kutoka kwa serikali
 
Back
Top Bottom