Hawa mabwana achana nao mkuu,ukiwa tofauti na mawazo yao lazima wanakuita mkenya lakini hao wakenya kuna maeneo wanakubali makosa lakini si Hawa wabongo wa humu but hiyo ni ishara ya kutokujiamini tu
Ukweli utabakia kuwa miji yetu yote iko disorganized kabisaa,hebu imagine hadi Malawi wametushinda.Hata ungejenga magorofa mazuri kiasi gani lakini kama yako kwenye maeneo yasiyopimwa hakuna maana.From mwenge kuja mjini kandokando ya barabara ni magorofa but nyuma ya hayo majengo hakuna tofauti na hiyo kibera wanatoishupalia humu hasa pale victoria. Wabongo tukubali ukweli ili tubadilike.Hakuna jambo linaniuma kama serikali kushindwa kupanga miji yetu,I hate ccm hasa kwa hii issue