joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mimi binafsi sijawahi sifia utajiri wa mtu mmoja mmoja, na mtanzania anayefanya hivyo inawezekana anafanya hivyo kama kujibu mapigo ya ninyi kusifia idadi yenu ya milionea, lakini ninyi huu ndiyo wimbo wenu kila mara mnaposhindwa kupata mambo ya kuisifia nchi yenu huwa mnakimbilia kwenye idadi ya watu maatajiri, hovyo kabisa.We jamaa huwa uko empty kwenye ubongo afu unajiona mwerevu sana...haya nijibu, wakati huwa unakuja kusifia kale kabillionare kenyu kamoja na 79% ya watanzania ni maskini wa kutupwa fahari ndo ipo wapi hapo??watanzania wenzako wanaona heri kupitia shida wakiomba omba mijini Kenya kuliko kuishi Tanzania fahari ipo wapi hapo??....yani ukisema wengine hawana akili mtu anaezadhani we mwerevu kumbe akilini umejaza tu maji