Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hata misri, dubai, tunisia na mataifa yote ya kiarabu yana hali ya hewa ya joto.

pia niliwahi tembelea sehemu moja huko kenya inaitwa lodwar, kuna joto kali sana, dar haitii ndani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kadoda inabidi siku moja utupe historia ya maisha yako huko Kenya maeneo mengine nayasikia kwako
For the first time nilidhani wewe ni mkenya
 
Poa keti hapo[emoji116] [emoji116]
806f0c3c83f178f1697c1ee1670e8e32.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kadoda inabidi siku moja utupe historia ya maisha yako huko Kenya maeneo mengine nayasikia kwako
For the first time nilidhani wewe ni mkenya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kaka kenya nimeishi kwa mda mrefu sana...there was a time taasisi niliyokuwa nafanyia kazi ilinihamishia kenya.

kutokana na nature ya career yangu, ilinibidi niwe nasafiri maeneo mengi ya kenya.

ndio maana huwa nakuwa na confidence kubwa sana ninapo argue na wakenya kwasababu naifahamu vizuri nchi yao.
 
Iyo joto joo..nikiishi dar nakuwa mgonjwa sana.
as i told you, i have been to lodwar some years back,that place is very hot.

and this is the current weather of lodwar.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
525d002903b54f04c6ae5a8ac022830b.jpg
 
Lodwar na Dar ni same climatic conditions....very hot and humid
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kaka kenya nimeishi kwa mda mrefu sana...there was a time taasisi niliyokuwa nafanyia kazi ilinihamishia kenya.

kutokana na nature ya career yangu, ilinibidi niwe nasafiri maeneo mengi ya kenya.

ndio maana huwa nakuwa na confidence kubwa sana ninapo argue na wakenya kwasababu naifahamu vizuri nchi yao.

ulisahau kusema mtoi wako anasoma Kenya na si Tz.....hahaha.Behind the scenes Kenya mnaitamania sana
 
Lodwar na Dar ni same climatic conditions....very hot and humid
weather wise dar ipo tofauti na lodwar.

hata kijiografia pia, dar ipo jirani na bahari wakati lodwar ipo mbali sana na bahari.

this is the current weather of dar.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
5c4175a57e639afcd3c63345f2d7e5d7.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kaka kenya nimeishi kwa mda mrefu sana...there was a time taasisi niliyokuwa nafanyia kazi ilinihamishia kenya.

kutokana na nature ya career yangu, ilinibidi niwe nasafiri maeneo mengi ya kenya.

ndio maana huwa nakuwa na confidence kubwa sana ninapo argue na wakenya kwasababu naifahamu vizuri nchi yao.
uwongo zako..mara ulikujanga kenya ukawa na dem ...hakuna kenya umewai kuja weka passport
 
Back
Top Bottom