Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

upload_2018-1-30_12-5-36.png
 
Elmatador acheni Wivu mmeona watanzania wakiona rais Odinga akiapishwa watafaidi Solution ni ku switch off channel.Buda udugu hauko hivyo sisi wote ni Wana East Africa Buda
 
Iyo joto joo..nikiishi dar nakuwa mgonjwa sana.
hata misri, dubai, tunisia na mataifa yote ya kiarabu yana hali ya hewa ya joto.

pia niliwahi tembelea sehemu moja huko kenya inaitwa lodwar, kuna joto kali sana, dar haitii ndani.
 
Back
Top Bottom