Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha umetoka kwenye mada umeingia kwenye siasa za kumsifu Magufuli,mungu ibariki Tanzania,zibariki fikra na mwazo ya mwenyekiti....😀😀😀
nyoosha nchi magufuli asante sana😀😀😀
 
We jamaa huna Malinda
Lazima unatembea na nguzi
Sibure. Ndomaana mnataka kupitisha sheria ya ushoga
View attachment 686973

Tanzania imekataza wanawake kupigwa picha wamevaa nguo za "beach" ,kama vile bikini nk,kwaupi watanzania hawataki wanawake zao wapendeze...

Hii picha ni moja katika picha ya ajabu,mwanamke yuko kwenye "kihori" kwetu hicho yunakiita kihori kwasababu sio ngarawa wala mashua,bado haijafikia jahazi,......hahahaa kiswahili kitamu sana

Huyu mwanamke akidondoka gapo kazama hamna wa kumuokoa,pili hii picha haileti maana huyu mwanamke kavaa kama anakwenda kwenye taarabu 😀😀😀
 
Hamna sehemu za kucheza watoto?? naomba aniambie hapa panaitwaje

9921c1a97391cf8cac2177c8dcb3e77d.jpg
2e0683ebaa3b80a4d1e86171dc79a27b.jpg
a73bc170deea048dca753c993d6a42c4.jpg
4af225df145fa7a11ae214deba947ff8.jpg
 
Master plan of the city ni document yenye set of directions namna gani tutaendeleza mji wetu.

Unachomaanisha ni implementation.. Now implementation ya master plan inachukua mpaka 30years to be implemented.

Last master plan ya dar ilikuwa 1977(if am not mistaken) na inayofuata bado IPO kwenye mchakato..

Ndani ya master plan tunaweka directions.. Tunataka mji wetu uweje. Lengo kuu ni mini?! Kwa mfano Master plan Mpya ina sema vitu kama financial district.. Commercial district... Development of open spaces like coco beach.. Better transportation corridor...

Uzuri Wa master plan ni qualities of townscape.. Landscape.. Buildings ..well defined roads. ..ukienda wizara ya Ardhi utaona hakuna michoro ya mipango miji isiyokuwa na maeneo ya wazi na michezo.

Kinachofuata ni kuitekeleza.. Unaposikia bomoabomoa ndio utekelezaji wake...it too 500yrs for Rome to.take shape.. Unalalamika ndio kwanza 30yrs..relax
he should pay you. information like this in kenya is not given for free.he would be charged ksh 20000 per hour.
 
Sawa mkuu,lakini mimi nimejikita zaidi kwenye mazingira ya mji wetu wa Daresalam ukiifananisha na yale ya Nairobi...

sasa nambie mji wa Daresalam una maendeleo gani,mji hauna hata sehemu za wazi za kumpuzikia wakaazi wa daresalam,au kupeleka watoto kucheza
Kumbe huyu ni mkenya wa Mathare, nkafkiri mbongo angalau Una kuswahili kimenyooka nyooka sio kama wenzako waliobakia kiswahili mpaka tuwatafsirie.. But foreal bro Slum life has really affected your brain nimekutumia picha hapo juu hujaziona au? Au unatumia O king
 
muggers still running nairobi like they own it...like there is no government.nairobi is not safe.

accf6defa16a2f04818ec69ec42fd4ac.jpg
 
Eti anauliza kenya wana Konza city sisi tunanini wakati akiangalia uzi nyuma tu kidogo ataona kuna projects nyingi tu Dar kama kawe city n.k.
 
You guys should understand that every country in Africa, SA included, faces its own challenges...By the way, SA has one of the highest crime rates in the world...it has slums everywhere from Cape Town to Johannesburg and also has the worst inequality levels in Africa...kuna mahali SA ni kama tu nchi zilizoendelea na kuna mahali ni kama tu third world countries or worse...
main-qimg-85afeef34d372b58f3bad0907b04a173.webp

main-qimg-ade8d4665c696c97ca04d421f99866c5.webp

main-qimg-8328785cc8c7932a3551278c2dd1d5aa.webp
main-qimg-6ecc6fb575c5a9f183a27298456226a7.webp
main-qimg-ab9e4944969c9c497ab47edd5087da95.webp
main-qimg-46ab0f6c83aa000f1b31fa7ec3afe957.webp
main-qimg-8feb897f980a24103b01e865d51a5a39.webp
main-qimg-8e1e83db9fa498e1b267bc9e8c55337a.webp

Muhimu ni kujitahidi kujinasua kutoka hali ya uLDC na kukuza uchumi kwa manufaa ya wananchi
Acha kujifariji kwa kulinganisha na SA, mazingira ya SA ni special hapa duniani, inaeleweka kulikuwa na ubaguzi wa rangi na waafrika walilazimishwa kuishi kwa nguvu kwenye slums, uchumi wao ulikuwa wa kibaguzi, je Kenya na ninyi uchumi wenu ni wakibaguzi?, sasa hivi serikali ya SA inafanya juhudu za makusudi kurekebisha hiyo hali, Kenya mnafanya nini kuwatoa watu katika slums mlizozisababisha wenyewe kutokana na sera zenu za uchumi wa kibepari?
 
Kumbe huyu ni mkenya wa Mathare, nkafkiri mbongo angalau Una kuswahili kimenyooka nyooka sio kama wenzako waliobakia kiswahili mpaka tuwatafsirie.. But foreal bro Slum life has really affected your brain nimekutumia picha hapo juu hujaziona au? Au unatumia O king
😱😱
 
Eti anauliza kenya wana Konza city sisi tunanini wakati akiangalia uzi nyuma tu kidogo ataona kuna projects nyingi tu Dar kama kawe city n.k.
kilaza yule...mimi nimempuuza.
alijaribu kuni-qoute akadhani nitajibishana naye....
 
Back
Top Bottom