Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uzushi na uongo ni sifa za asiye taka kutafiti jambo lolote bali kwenda na hisia.unazungumzia victori nyuma ya majengo yapi ambapo kuna slums???

bora hata ungetaja eneo lingine kijana,hilo eneo upande wa kushoto kumejaa nyumba za viongozi za serikali na kulia ni nyumba binafsi geti baada ya geti.sijui slums umeziona wapi???embu leta picha utuumbue lol.
Katika Maelezo yote ukaona pa kutokea ni Victoria tu,haya hayo mengine niliyoyaeleza je,,eti Victoria geti kwa geti, ni eneo dogo hasa mkono wa kushoto labda kwa upande wa kulia mitaa ile kuna ESRF otherwise sehemu kubwa ni hivyo tu,hata hayo mageti bado kuko unplanned
 
Subscribe to read

Twenty-three African states, including South Africa, Nigeria and Kenya, have launched a single aviation market in a bid to boost connectivity, reduce fares and stimulate economic growth on a continent widely considered the most expensive and inconvenient to fly around.
Congratulations.. Hatua hii hata Marekani haijafikia, ni maendeleo makubwa sana
9a69c5e475f167a12ff74763c5c00159.jpg
 
Na hii staili ndo huwa inaniacha hoi,road ina urefu wa zaidi ya 200km then unajenga km 30 so utamaliza mkaka mingapi,pigs chini sgr tandaza barabara nchi nzima,tunahitaji barabara kuliko reli
 
Na hii staili ndo huwa inaniacha hoi,road ina urefu wa zaidi ya 200km then unajenga km 30 so utamaliza mkaka mingapi,pigs chini sgr tandaza barabara nchi nzima,tunahitaji barabara kuliko reli

hiyo sgr ikikamilika italeta hela nyingi zaidi ya hela zilizotumika kuijengea, Ambazo zitaweza kujenga barabara nyingi zaidi. pia sgr ipo ki-strategy zaidi, wataalam wameona itasaidiaje kiuchumi ndio maana wakachagua sgr badala ya barabara.
 
Na hii staili ndo huwa inaniacha hoi,road ina urefu wa zaidi ya 200km then unajenga km 30 so utamaliza mkaka mingapi,pigs chini sgr tandaza barabara nchi nzima,tunahitaji barabara kuliko reli
Kwani aliekwambia barabara hakuna nani???
Tena hakuna nchi imejitahidi sana kujenga barabara kwa muda mchache sana kama tanzania

Reli inaumuhimu sana pia hasa SGR ni muhimu sana tena sana
 
Air Tanzania outlines early CS300, B787 deployment plans

Air Tanzania (TC, Dar-es-Salaam) Chief Executive Officer (CEO) and managing director, Ladislaus Matindi, has outlined early CS300 and B787-8 deployment plans ahead of either type's delivery later this year.

As previously reported, the Tanzanian state-owned carrier expected to take delivery of its two CSeries jets from Bombardier (BBA, Montréal Trudeau) in June this year to be followed by its maiden B787-8 from Boeing (BOE, Chicago O'Hare) in July. All aircraft are being procured via state-owned lessor, TGF - Tanzanian Government Flight (Dar-es-Salaam).

Speaking to African Aerospace in November last year, Matindi said the CS300s would be used to open up five or six regional routes in Southern and West Africa including Johannesburg O.R. Tambo (South Africa), Zambia, and Zimbabwe, as well as Ghana, Nigeria, and Senegal, and one or two destinations in the Middle East.

The B787, on the other hand, will be deployed on intercontinental routes to China and India initially, followed by Europe in a second phase. Talks are already underway to firm up an option for a second of the type, the CEO said.

To help boost the viability of its new services, Air Tanzania will undergo IOSA certification later this quarter. If secured, this will then allow the carrier to develop commercial partnerships with other, more largescale operators.

“Our business plan tells us what to do. We have theories about how we will fill them [the aircraft]," he said. "We know it is not an easy plan and strategy, but we adopted it knowing we have that capacity. Tanzania is a country with enormous tourism potential – if we work hard and have a good plan, that number will be within reach without any problem.”

Air Tanzania currently operates two Dash 8-400/Q400s on domestic services as well as short-haul regional hops to the Comoros. According to Matindi, once Air Tanzania takes delivery of third Q400, it will then consider its options insofar as the future of its ageing near 20-year-old Dash 8-300 is concerned.

Air Tanzania outlines early CS300, B787 deployment plans

Air Tanzania outlines early CS300, B787 deployment plans
 
Katika Maelezo yote ukaona pa kutokea ni Victoria tu,haya hayo mengine niliyoyaeleza je,,eti Victoria geti kwa geti, ni eneo dogo hasa mkono wa kushoto labda kwa upande wa kulia mitaa ile kuna ESRF otherwise sehemu kubwa ni hivyo tu,hata hayo mageti bado kuko unplanned
kijana narudia tena nioneshe kwa picha eneo lenye slum victoria,unplaned ukimaanisha huduma gani hazipatikani kwa ustadi au ni za hovyo eneo hilo????barabara,majitaka,umeme au maji safi???

victoria ni miongoni mwa maeneo dar es salaam ambayo yanaeleweka kimuonekano,hata google map inakuumbua.
 
Attachments

  • 484B470D-548F-4369-B8F6-BCDF63FA7489.png
    484B470D-548F-4369-B8F6-BCDF63FA7489.png
    276.4 KB · Views: 41
  • 4947D051-8532-4511-807A-C45D9FCAF35D.png
    4947D051-8532-4511-807A-C45D9FCAF35D.png
    273.3 KB · Views: 40
  • 3C959A32-BF6C-4574-86AA-7FE68CCD138B.png
    3C959A32-BF6C-4574-86AA-7FE68CCD138B.png
    281.8 KB · Views: 37
  • AA0E6D4E-A7F3-4239-9300-6A9D50EBC39F.png
    AA0E6D4E-A7F3-4239-9300-6A9D50EBC39F.png
    299.3 KB · Views: 38
Here are the top 10 African countries with most millionaires. In US dollars
1. South Africa 40 400 millionaires
2. Egypt 18 100 millionaires
3. Nigeria 12 300 millionaires
4. Kenya 9 400 millionaires
5. Angola 6 100 millionaires
6. Morocco 4 600 millionaires
7. Algeria 4 500 millionaires
8. Mauritius 3 800 millionaires
9. Namibia 3 300 millionaires
10 Ethiopia 3 100 millionaires

Other notable countries that did not make it on our list are Ghana 2 900, Botswana 2 800, Cote d'Ivoire 2 500, Tanzania 2 400 and Uganda 1400. Source: AfrAsia Bank Africa Wealth Report 2017
 
Hivi ninyi wakenya mna akili au vichwani mnafuga nyuki?, hivi kweli mnaona ufahari kujisifia kuwa na milionea wakati mamilioni wa wananchi wanakufa njaa?, huwa mimi ninashindwa kuelewa kama kweli mna akili au mnamatatizo gani. Mtu yeyote mwenye busara hawezi kujisifia utajiri wakati hana chakula, hakuna kaxi, hata maji ya kunywa na kuoga pia ni shida hapo Nairobi. Kiukweli ninyi ni shithole country, hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuwaelewa ninyi.
 
We jamaa huwa uko empty kwenye ubongo afu unajiona mwerevu sana...haya nijibu, wakati huwa unakuja kusifia kale kabillionare kenyu kamoja na 79% ya watanzania ni maskini wa kutupwa fahari ndo ipo wapi hapo??watanzania wenzako wanaona heri kupitia shida wakiomba omba mijini Kenya kuliko kuishi Tanzania fahari ipo wapi hapo??....yani ukisema wengine hawana akili mtu anaezadhani we mwerevu kumbe akilini umejaza tu maji
 
Acha upimbi braza
Mtz anaeombaomba Ke atakua ni kichaa labda, hakuna Mbongo mwenye akili zake timamu avuke boda aje kua ombaomba huko.
 
Back
Top Bottom