Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Did I just see the colours of Kenya Airways on a plane above Dar? That's the pride of Africa. Wabongo zile mitungi zenu za gesi mnaita ndege ziko wapi?

You mean the mitungi type UN/WFP charters from Wilson Apt to airlift relief to disaster zones are being configured in Canada for pax in Tz!? 😉
 
Ushai ona sisi tukijicompared na nyie. Coz nyie c our level . lkn nyie m afuatilia wakenya in all media kama senge..ili mjicompare na ss iyo ni ushamba
Hamuwezi kujilanganisha na sisi kwasababu ninyi ndiyo mnaolalamika kwamba tunawazuia kuja kufanya kazi huku, ushaona kuna mtanzania anayetaka kuja kuishi Kenya?, ninyi ndiyo kila mara tunawafukuza na kuwarudisha kwenu, mnalialia kwamba tunawanyanyasa
 
Kwani hizo ni za Tanzania? wewe nitajie kampuni hata moja tu ya Tanzania inayofanya biashara kenya. Pengine utaniambia diamond karanga

Mmmm...I had to chuckle on this...I've seen that over-hyped diamond karanga being hawked for promotion in the streets of Nairobi in a jalopy van! If that is TZ's best ''blue-chip'' corporate export,wacha ikae! 😀😀😀
 
Unajua hawa wakorogocho,wanayo kasumba mbaya sana juu ya nchi nyingine za africa,hasa majirani zao.

Imafikia hatua hawaamini wanayoyaona,hivyo wanaamua kutokubaliana na ukweli wowote.
Watashtuka wakiachwa na njaa kwa kufurahia gdp iliyo mikonon mwa watu elfu kumi ....huku majority wanakunya kwenye rambo na kukosa msosi
 
Hamuwezi kujilanganisha na sisi kwasababu ninyi ndiyo mnaolalamika kwamba tunawazuia kuja kufanya kazi huku, ushaona kuna mtanzania anayetaka kuja kuishi Kenya?, ninyi ndiyo kila mara tunawafukuza na kuwarudisha kwenu, mnalialia kwamba tunawanyanyasa

you are mad.....vile mmejazana Kenya.....!!!!...hahaha.But we care less ...we need the cheap labour from Tanzania.....on the other hand most Kenyans working in Tz are professionals .... kwanza kisumu hapo lwangni beach wachaga na sukuma wanauza second hand bedsheets kiajabu....na fake Chinese stuff wamebebea mgongoni
 
nitajie kampuni hata moja tu ya Tanzania inayofanya biashara kenya.

Azam ndio punda milia gani? .
muggers i just want to remind you that azam tv was the official broadcaster of cecafa tournaments that were held last in kenya.

dd4c619478a0b35c9d6ddd2cff7df8e3.jpg
16a7c045cb05fb8083dfcbd65fb47dc5.jpg

if that is not enough, azam tv signed a 3 years contract desl with cecafa, that means in the next two seasons of cecafa tournaments, azam tv will be there to represent on issues of tv broadcast.
ba4690038e4cd32d16410df22eccc696.jpg

kutoa povu ni ruksa.
 
you are mad.....vile mmejazana Kenya.....!!!!...hahaha.But we care less ...we need the cheap labour from Tanzania.....on the other hand most Kenyans working in Tz are professionals .... kwanza kisumu hapo lwangni beach wachaga na sukuma wanauza second hand bedsheets kiajabu....na fake Chinese stuff wamebebea mgongoni
kauli ya mtu aliyevunjika moyo.
 
You only attracts unprofessional people, those who struggle to go to better countries are educated people, shithole countries attract unskilled people
 
Back
Top Bottom