Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The same world bank you are quoting here says our gdp is $75b ba yenu ni $55b. Kwa hivyo mnakubaliana na data za world bank when the data only favours your country but quick to rubbish the same world bank data calling them cooked figures when it says Kenya's econimy is bigger. Look at your sorry a**es
Even if they report $100B your GDP, who own that GDP is the most important to focus on, sasa kwenu ninyi uchumi haumsaidii mwananchi wa kawaida, 62% ya uchumi wenu upo mikononi mwa watu 10,000, zaidi ya ninyi kupiga makofi na kufurahia figures nini zaidi mnafaidika kama hata chakula tu mnashindwa kujitosheleza, uchumi unaoshindwa kutengeneza ajira kwa watu wake unafaida gani?. Kwa mwenye akili timamu angejisikia vibaya kusifia GDP wakati watu wanakufa njaa.
 
Kenya haijawahi kujenga nchi yenu, mlichojenga ni majengo na viwanda vichache. Nchi inajengwa kwa kuanza na msingi wa umoja, upendo na amani, wananchi wote wajione wana haki sawa katika kupata fursa za kujiendeleza kiuchumi na kulindwa, Kenya mlianza kubaguana katika misingi ya ukabila na kiuchumi, mkaweka matabaka ya wachache matajiri na wengi masikini, leo hii Kenya is the most ruthless economy in the continent, ukabila, rushwa, insecurity, unemployment, hunger, na mambo yote mabaya yapo Kenya, how can you compare with a country number one in Inclusive economy in Sub Sahara Africa?
Kenya, just like sny other emerging economy, has its fair share of challenges. Tatizo ni kwamba mnajiona nchi takatifu lisilokuwa na tatizo lolote wakati umaskini Tanzania iko level ya juu kushinda hata kenya licha ya nyinyi "kutokuwa" na changamoto mingi kama kenya jinsi ulivyosema hapo juu. Tunaweza kuwa na shida ya ukabila, unemployment rate kuwa juu, insecurity na kadhalika lakini mbona mnjiona ni kama hizi matatizo yapo kenya tu? Na zaidi ya yote, mbona tumewashinda kimaendeleo licha ya kuwa na shida si haba? That should tell you something...Tunajua kushugulikia matatizo na chamgamoto zetu
 
real estates dar ni 12b usd
nairobi 9b usd sasa unataka kufananisha vp na hio ni according to the world bank😀😀😀😀

tatizo lenu munaona aibu kukubaliana na ukweli kwan ni aibu kwa tanzania kuinuka for just 10 yrs😛😛 wakat nyinyi mumejengeka na mulijengewa nchi for almost 50 yrs
Land is real estate. Dar as a province land area is twice that of nairobi so.... Look for something else.
 
Even if they report $100B your GDP, who own that GDP is the most important to focus on, sasa kwenu ninyi uchumi haumsaidii mwananchi wa kawaida, 62% ya uchumi wenu upo mikononi mwa watu 10,000, zaidi ya ninyi kupiga makofi na kufurahia figures nini zaidi mnafaidika kama hata chakula tu mnashindwa kujitosheleza, uchumi unaoshindwa kutengeneza ajira kwa watu wake unafaida gani?. Kwa mwenye akili timamu angejisikia vibaya kusifia GDP wakati watu wanakufa njaa.
Naona mshaanza kubadilisha ngoma...sasa sio uchumi wa kupikwa tena. Siku moja pia mtakubali tu kwamba uchumi wa kenya inamilikiwa na wote. at least mshakubali kwamba sio data ya kupikwa as you have always said on this forum time without number.
 
Kenya, just like sny other emerging economy, has its fair share of challenges. Tatizo ni kwamba mnajiona nchi takatifu lisilokuwa na tatizo lolote wakati umaskini Tanzania iko level ya juu kushinda hata kenya licha ya nyinyi "kutokuwa" na changamoto mingi kama kenya jinsi ulivyosema hapo juu. Tunaweza kuwa na shida ya ukabila, unemployment rate kuwa juu, insecurity na kadhalika lakini mbona mnjiona ni kama hizi matatizo yapo kenya tu? Na zaidi ya yote, mbona tumewashinda kimaendeleo licha ya kuwa na shida si haba? That should tell you something...Tunajua kushugulikia matatizo na chamgamoto zetu
Kwanza fahamu kwamba hizo shida zote mlizonazo hata sisi huku tulikua nazo, ila tuliamua kuanza kushughulika nazo kwanza badala ya kujenga majumba na viwanda, kwetu maana ya maendeleo ni kuwa na umoja, amani, uhakika wa chakula, ajira, maji, afya na huduma bora za jamii. Kwenu ninyi maendeleo ni GDP, idadi kubwa ya matajiri, majumba marefu na flyovers, ndiyo sababu sisi tunaona tumewapita kwa mbali sana katika vigezo vyetu vya maendeleo, na ninyi mkiangalia majumba mliyojenga zamani na GDP yenu mnadhani mpo mbele.
 
Kwa hivyo kariakoo pale katikati mwa mji kuna nyumba za kupangisha!? Lol Hii Dar yenu ni mji wa ajabu sana

Kila kitu kinapatikana mjini hapo,au hujui miji yote iko hivyo,kasoro nairobi.
 
Naona mshaanza kubadilisha ngoma...sasa sio uchumi wa kupikwa tena. Siku moja pia mtakubali tu kwamba uchumi wa kenya inamilikiwa na wote. at least mshakubali kwamba sio data ya kupikwa as you have always said on this forum time without number.
Nani kasema sio uchumi wa kupika, hiyo figure imepikwa kama ambavyo international community imeonyesha wasiwasi wake juu ya hilo. Mimi nimesema hata kama mtapika figure na kuonyesha kwamba GDP ni $100B, inafaida gani kama ninyi wananchi haiwasaidii?, acha kulazimisha mambo.
 
Naona mshaanza kubadilisha ngoma...sasa sio uchumi wa kupikwa tena. Siku moja pia mtakubali tu kwamba uchumi wa kenya inamilikiwa na wote. at least mshakubali kwamba sio data ya kupikwa as you have always said on this forum time without number.
lol...after yesterdays humiliation what do ldc dwellers have for us today
 
The same world bank you are quoting here says our gdp is $75b ba yenu ni $55b. Kwa hivyo mnakubaliana na data za world bank when the data only favours your country but quick to rubbish the same world bank data calling them cooked figures when it says Kenya's econimy is bigger. Look at your sorry a**es
lol..hebu waulize
 
Land is real estate. Dar as a province land area is twice that of nairobi so.... Look for something else.
nairobi metro is 4000 square kilometres plus.....tell us something else...mliishiwa na vitu za kuonyesha mapema sana i had to stop the humiliation
 
that
Even if they report $100B your GDP, who own that GDP is the most important to focus on, sasa kwenu ninyi uchumi haumsaidii mwananchi wa kawaida, 62% ya uchumi wenu upo mikononi mwa watu 10,000, zaidi ya ninyi kupiga makofi na kufurahia figures nini zaidi mnafaidika kama hata chakula tu mnashindwa kujitosheleza, uchumi unaoshindwa kutengeneza ajira kwa watu wake unafaida gani?. Kwa mwenye akili timamu angejisikia vibaya kusifia GDP wakati watu wanakufa njaa.
old narrative sounds 1990......something new pliz
 
Hili dubwana ni kubwa hadi lina shape kama ya S yaani tower mbili hapo zimeunganishwa , Noma sana .

b10193a83e9f21eae4576691f80efa93.jpg
lol.......thanks for the drawing
 
Ubepari ni dira yenu ..nyie ni marafiki wa wazungu muda sana ..they even settled hapo Nairobi ..kama umesoma history vzur ..nyie ni puppets wao ..sasa unategemea headquarters za company zao zije zikae Tanzania ..ambapo we dont entertain ubepari na kuwa puppets kwa wazungu ..wakati nyie wa kuwa controlled na wazungu mpo? ..sisi we ddnt entertain wazungu ..kama nyie ..so hata si shangai .headquaters ziko hapo Nairobi

They built alot of things there ..na hapo bado some of uchumi wenu unashikiliwa na wao
lol....36 kenyan owned companies are in your country and they employ 100k tanzanians and their companies......tell us something new
 
I always say you Tanzanians suffer from ujamaa slavery mentality. You believe eveything good in Kenya was done by the white man wakati sisi tukijenga nchi yetu you burried your heads in the sand in a stupid philosophy called ujamaa
when they dont have the pictures you resort to character assasination....pliz understand them
 
Back
Top Bottom