asap kajanja
Senior Member
- Mar 19, 2016
- 155
- 205
Sawa mkenyaDaresalam mji usiokuwa na viwanja vya wazi vya kuchea watoto au kwa mapumziko ya wanaoishi mji huu,Daresalam ni mji wa misho duniani..,wale amabao wanaousifia mji wa Daresalam wanatakiwa watembee miji ya wenzetu wajionee...
Mji kuwa mzuri sio kuwa na majumba ya ghorofa makubwa tu,kuna mambo mengi ya msingi ya kuziangatia,mji hauna hata vyoo vya umma (Public toilets),kweli unaweza kuusifia mji kama huo...,nawakilisha