Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unamaanisha watu walisafirishwa kwenda dar kuandamana au mm ndo sikuelewi
Kaka wewe upo nje, habari nyingi unazipata kwa kusikia tu, mimi nipo Dar na hiyo siku wanafanya huo uhalifu mimi nilikua nimetoka nilishuhudia ninayoyaeleza hapa, na picha ninazo nilizopiga mwenyewe kwa mkono wangu..

Hatufai kuilamu serikali katika hili kabisa, watu walio nyuma ya hili wapo wazi, wanyoosheeni wao vidole, msimuangushie jumba bovu samia eti kwasababu hamumuelewi/ hamumpendi..

Hata mimi simkubali lakini tujifunze kusema vya kweli sio kuongea uongo tu kwa kumkandamiza mtu. Walioingia road tuliwashudia kwamba walikua ni akina nani.. Dar ilifurika watu wa mikoani siku zile, mazuzu mengi yaliokotwa kutoka Mbeya na kaskazini huko ( kimsingi vilaza wengi wa kufuata mikumbo wako huko kwa hii Tz ndio mana hata wale wachungaji wengi wezi wanatokea maeneo haya).
 
hii ndio maana halisi ya mahakama kua huru haya mambo huwezi yakuta africa nzima zaidi ya kenya pekee

hongereni wakenya hakika elimu imewasaidia sana 👏👏👏👏👏👏


View: https://www.instagram.com/p/DfHnEHBDBTi/?srtk=OGt0YWpwdzQ4ZnB4


View: https://www.instagram.com/p/DfHfOg6jeGJ/?srtk=MWgyenZ4Z3F1bDVlNA==


IMG_3474.png
 
Nimemuweka ignore list wala sijamjibu.
Utambuzi hautaki emotions.
Unatakiwa uokote data as many as possible from kila kona.

Sasa kumuweka mtu kwenye ignore list ni dhahiri kuwa tayari wewe umesha-arrive kwenye conclusion yako na kitu or vitu pekee unataka sikia ni vile vinavyoendana na your conclusion.

A critical thinker ni lazima awe rational na to be rational ni lazima uwe bold enough to voluntarily suspend disbelieve uweze kusikiliza na kuexamine upande mwingine.

Huna sababu za msingi kumuweka mwingine kwenye ignore list.

Ni hayo tu.
 
hii ndio maana halisi ya mahakama kua huru haya mambo huwezi yakuta africa nzima zaidi ya kenya pekee

hongereni wakenya hakika elimu imewasaidia sana 👏👏👏👏👏👏


View: https://www.instagram.com/p/DfHnEHBDBTi/?srtk=OGt0YWpwdzQ4ZnB4


View: https://www.instagram.com/p/DfHfOg6jeGJ/?srtk=MWgyenZ4Z3F1bDVlNA==


View attachment 3701606

Kenyan judiciary has its own negative issues but one good thing is its independence from other 2 government branches ( Executive and Legislature)
Remember they once nullified a general election and ordered repeat ( Uhuru vs Raila).
Can you imagine a Tanzanian court doing the same against Mama?.. The judges would disappear overnight never to be heard or seen again 🙈💯
 
hii ndio maana halisi ya mahakama kua huru haya mambo huwezi yakuta africa nzima zaidi ya kenya pekee

hongereni wakenya hakika elimu imewasaidia sana 👏👏👏👏👏👏


View: https://www.instagram.com/p/DfHnEHBDBTi/?srtk=OGt0YWpwdzQ4ZnB4


View: https://www.instagram.com/p/DfHfOg6jeGJ/?srtk=MWgyenZ4Z3F1bDVlNA==


View attachment 3701606

Though it’s definitely good for democracy , the independence of Kenyan judiciary has been detrimental to development projects crucial for the nation since any Tom, Dick or Harry can file a petition for corrupt interests and stop construction. It happens daily and it has delayed or cancelled many projects of national importance. Any project in Kenya you know of has gotten its share of court cases . The government is always fighting in court. Hata the new 60 story NSSF tower was delayed by a court case. Too much democracy 😜💯
 
hii ndio maana halisi ya mahakama kua huru haya mambo huwezi yakuta africa nzima zaidi ya kenya pekee

hongereni wakenya hakika elimu imewasaidia sana 👏👏👏👏👏👏


View: https://www.instagram.com/p/DfHnEHBDBTi/?srtk=OGt0YWpwdzQ4ZnB4


View: https://www.instagram.com/p/DfHfOg6jeGJ/?srtk=MWgyenZ4Z3F1bDVlNA==


View attachment 3701606

Any Kenyan government administration is always fighting in court against Law society of Kenya, Kenya human rights commission and thousands of legal activists who will find anything to sue the government.
It’s like a lifestyle 😂😂… Kenya is overly democratic for a non first world country. Sometimes I feel like we should ease on the pedal to allow the government to breath and deliver on its mandate.
There is no democracy like Kenya in Africa outside of South Africa. That part …💯
 
Back
Top Bottom