Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh!mkuu hapo umepotoka,kuna watoto walikufa nao ilikua haki yao?tuipende nchi yetu ila kwenye makosa tusiache coz sababu tu chama au kiongozi unayemkubali,hivi unajua hadi watu wa ccm walikufa siku ile,kwenye kizuri tusifie kwenye ubaya tukemee
The problem is, kila mtu anairushia lawama serikali, haitakiwi kua double standard, ulitakiwa kusema waliochoma vitu na serikali kwa pamoja, ila nyie mnataka serikali ionekane ndo mbeba msalaba mzima, hakuna serikali kama hio dunia nzima
 
View: https://x.com/nicksortor/status/211582719a=SOZ1KODVaey4HJX8Bf0&s=19hii pesa ambayo marekani inalalamika imeibiwa na wakunya ni ndogo mno ukilinganisha na rasilimali ambazo marekani na europe wanaiba afrika,viongozi wa kiafrika sijui wanashindwa vipi kufanya rasilimali zilizopo afrika zinufaishe afrika tu!

Sio rahisi ivo, kuna kiongozi mmoja alishawahi kutoa huu msemo "its a disaster to be US allie but a death sentence to be his enemy"

Jina lake ni someone kisinger kitu kama icho, dunia inaendeshwa kwa ubepari and haiwezekan kila mtu kuprosper because capitalism will fail, you have to pay your own cards na sio kupiga hesabu kama hizo
 
View: https://x.com/nicksortor/status/211582719a=SOZ1KODVaey4HJX8Bf0&s=19hii pesa ambayo marekani inalalamika imeibiwa na wakunya ni ndogo mno ukilinganisha na rasilimali ambazo marekani na europe wanaiba afrika,viongozi wa kiafrika sijui wanashindwa vipi kufanya rasilimali zilizopo afrika zinufaishe afrika tu!

Chukulia mfank hawa ni wananchi wa marekani na anapokaa jamaa yetu mwai sadik, ukianza kukaa na kusema marekan ina uchumi mkubwa utakaa apo usubirie

"Survival for the fittest"

View: https://vt.tiktok.com/ZSgW1Js3R/
 
Duh!mkuu hapo umepotoka,kuna watoto walikufa nao ilikua haki yao?tuipende nchi yetu ila kwenye makosa tusiache coz sababu tu chama au kiongozi unayemkubali,hivi unajua hadi watu wa ccm walikufa siku ile,kwenye kizuri tusifie kwenye ubaya tukemee
Kaka wewe upo nje, habari nyingi unazipata kwa kusikia tu, mimi nipo Dar na hiyo siku wanafanya huo uhalifu mimi nilikua nimetoka nilishuhudia ninayoyaeleza hapa, na picha ninazo nilizopiga mwenyewe kwa mkono wangu..

Hatufai kuilamu serikali katika hili kabisa, watu walio nyuma ya hili wapo wazi, wanyoosheeni wao vidole, msimuangushie jumba bovu samia eti kwasababu hamumuelewi/ hamumpendi..

Hata mimi simkubali lakini tujifunze kusema vya kweli sio kuongea uongo tu kwa kumkandamiza mtu. Walioingia road tuliwashudia kwamba walikua ni akina nani.. Dar ilifurika watu wa mikoani siku zile, mazuzu mengi yaliokotwa kutoka Mbeya na kaskazini huko ( kimsingi vilaza wengi wa kufuata mikumbo wako huko kwa hii Tz ndio mana hata wale wachungaji wengi wezi wanatokea maeneo haya).
 
Sijakataa uhalifu kama ulikuwepo,ila kuna watu walikufa wakiwa hawahusiki na maandamano,kwa mfano kuna mwenyekiti wa mtaa wa mburahati mianzini kwa kupitia ccm alikufa ile siku,alikua anatoka kupiga kura,na siku ile ya uchaguzi alikua amepita kwenye nyumba za wanaccm wazee wengi tu mtaani kwake na kuwapeleka vituo vya kupiga kura,sio wote walikufa walikua kwenye vurugu mkuu
 
The problem is, kila mtu anairushia lawama serikali, haitakiwi kua double standard, ulitakiwa kusema waliochoma vitu na serikali kwa pamoja, ila nyie mnataka serikali ionekane ndo mbeba msalaba mzima, hakuna serikali kama hio dunia nzima
Siku ile kila mtu aliona vurugu,hayakua maandamano ya kawaida,ila ukija kwenye waliokufa,kuna ambao walipatwa na lile janga wakiwa hawapo kwenye vurugu,hao ndio ilibidi waangaliwe damu zao zinalipwa vipi
 
Sijakataa uhalifu kama ulikuwepo,ila kuna watu walikufa wakiwa hawahusiki na maandamano,kwa mfano kuna mwenyekiti wa mtaa wa mburahati mianzini kwa kupitia ccm alikufa ile siku,alikua anatoka kupiga kura,na siku ile ya uchaguzi alikua amepita kwenye nyumba za wanaccm wazee wengi tu mtaani kwake na kuwapeleka vituo vya kupiga kura,sio wote walukufa walikua kwenye vurugu mkuu
Kaka siku ile mauaji yalikua ni ya pande mbili, wapo watu waliouwawa wengine kwasababu tu hawazumgumzi lugha moja na waandamanaji, na wapo polisi waliokabiliana nao, na ndio sababu waliuwawa hadi watu wema tu kwa nchi yao. Hawa vijana wamevaa sare za polisi waliowawa na wanachi Dar hiyo 👇🏾
View: https://youtube.com/shorts/wUgyVwpJSs8?si=SFb5zWsjkQ_FBAKk.
 
Waandamanaji waliuchoma moto karibu mji mzima, wangeachiwa au kuzuiwa kwa kubembelezwa Dar yote ingekua majivu majivu sahii, note: waliochoma maeneo Dar hawakuwa wenyeji, ni vilaza na wafata mkumbo wa kibongo kutoka Mbeya na mikoa ya kaskazini.. 👇🏾
View: https://youtu.be/oSLRqstkyt0?si=Gn2EtUYT0-AD0I3S. Nikisema nipost videos za hivi mtanichukia humu, mana video hizi ni nyingi mno huko ticktock..

Mlitaka waachwe ili waturudishe zama za mawe za kale.?
 
Siku ile kila mtu aliona vurugu,hayakua maandamano ya kawaida,ila ukija kwenye waliokufa,kuna ambao walipatwa na lile janga wakiwa hawapo kwenye vurugu,hao ndio ilibidi waangaliwe damu zao zinalipwa vipi
Ufaransa wanaandamana na kuchoma maduka na vurugu nyingi tu uliona kuna watoto na mama zao waliopigwa risasi za vichwa? Eti udini? Kwani waliouawa ni dini moja? Kweli kama anavyosema ichoboy01 ukiweka uchawa mbele huoni hata kitu cha wazi kilicho mbele yako.
 
Kaka ulishuhudia uchomaji wa wanaojiita waandamanaji wa kibongo.? Au uliishia kuona zile videos za CNN.? Yooo Dar ilichomwa kuliko kawaida, mji wote ulikua ufuka moshi, mali nyingi zilichomwa kwa wivu na chuki za viongozi wenu wa dini dhidi ya matajiri wa kiislamu. Uzuri videos zote zipo mitandaoni. Buguruni ile iliwaka moto usivyojua wewe, serikali isingetumia nguvu kubwa kuwatuliza sahii tungekua tunaongea mengine hapa.
 
Back
Top Bottom