stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,448
- 40,868
huyu ni mchambuzi na mtangazaji wa mpira wa azam tv, naona hili jambo watanzania wamelipenda sana
View: https://www.instagram.com/p/DfGvjyuIjej/?obrf=MWR4dmd1Z2szdTI3bQ==
Unatia huruma 🤣🤣
huyu ni mchambuzi na mtangazaji wa mpira wa azam tv, naona hili jambo watanzania wamelipenda sana
View: https://www.instagram.com/p/DfGvjyuIjej/?obrf=MWR4dmd1Z2szdTI3bQ==
You see the difference 10 year deal vs 90 mins old men match 🤣🤣🤣🤣ati big boys🤣🤣🤣
Here you are celebrating Rwanda hosting F1 though their gdp ppp is even way below yours… why did you not raise priority issues here? You’re just a jealous lot 😂
View attachment 3701327
Vp wale wa gaza hutak kuwasemea? 🤣🤣 Au unamuogopa netenyau, wale wa kenya vp? 🤣🤣🤣 Tatizo ndoa bado changa utakaaa vizuri tu cha muhimu usichepuke IamLee will be very disapointed kuskia unachepukayes ni sahihi kabisa imagine dunia nzima inaombeleza wao wameshindwa kutambua na kujua kua watu wengi sana wamekufa bila hatia tena kwa kupigwa risasi wazi wazi
nchi hii kwa sasa inasikitisha sana na inati huruma sana 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
lakini hakuna damu ya mtu wala haki ya mtu itaondoka bure juu ya uso wa dunia kila damu iliodhulumiwa italia kwa nguvu mpaka dunia itakaposimama
Btw acha kuhangaika na fake account bayern already confirmed wanakuja vikongwe 🤣🤣🤣Fake account hio bana 🤣🤣🤣 umeshindwa kuangalia akaunti ina 4 k followers
Nchi ya ajabu sana hii. Serikali ambayo imeua watu iko kimya hata kutoa pole kwa wafiwa. Bendera nyingi zimewekwa nusu mlingoti kasoro bendera ya nchi husika na mauaji. Halafu mtu anashangaa mtu kuichukia serikali! U
Mtu akishachukia serikali chochote inachofanya anaombea kifeli hio ndio furaha yake.
Acheni mambo ya upotoshaji nyie bhana, sisi tumeona kwa macho wala sio hadithi .. waliuliwa ilikua ni haki yao kuuwawa, msiitupie lawama serikali kwa matokeo ya matendo yenu maovu nyie. Achani uongo bhana.yes ni sahihi kabisa imagine dunia nzima inaombeleza wao wameshindwa kutambua na kujua kua watu wengi sana wamekufa bila hatia tena kwa kupigwa risasi wazi wazi
nchi hii kwa sasa inasikitisha sana na inati huruma sana 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
lakini hakuna damu ya mtu wala haki ya mtu itaondoka bure juu ya uso wa dunia kila damu iliodhulumiwa italia kwa nguvu mpaka dunia itakaposimama
Kule kenya hii ndo inabeba abiria uku inatumika kubeba vyombo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣asanteni banbross kenya kwa kutuundia gari la TBC la matangazo mukiweza kutengezea na toothpick mutuletee plz 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3701336View attachment 3701337View attachment 3701338
Wanadhan apa ni kenya unaenda unajichomea vitu vya watuAcheni mambo ya upotoshaji nyie bhana, sisi tumeona kwa macho wala sio hadithi .. waliuliwa ilikua ni haki yao kuuwawa, msiitupie lawama serikali kwa matokeo ya matendo yenu maovu nyie. Achani uongo bhana.
Nimeshudia kwa macho vituo vya polisi vidogo vyote Dar vilichomwa, nilishuhudia vijana waliovaa sare za polisi wakijinadi mitaani kuua baadhi yao, nimeshuhudia mali za watu zikichomwa, mali nyingi sana za watu zilivhomwa, nimeshudia miondombinu ya umma kuchomwa na miningine kuharibuwa vibaya sana, mlitaka serikali izuie watu wenye dhamira ya kuliangamiza taifa kwa maneno.?glad hawakufika kariakoo siku ile mana wangefika katikati ya mji sijui wangeharibu uchumi wa hili taifa kwa kiwango gani, Nyie vipi nyie vipi nyie.? Msitakueleza mambo kwa chuki zenu tu..
Mnahoji serikali kwa kuwajibika kulinda usalama wa nchi.?
Mbona msihoji walioanzisha mambo ya kuzuia uchaguzi.? Mbona msihoji walio organize kuchoma mali za umma na zile za watu binafsi kwa wivu na husda za kidini.? J
Je wakati mnaanza hiyo mijadala hatukuwaasa kuwa msifanye hivyo.? Watu wema hawakuwakataza kwamba hiyo njia mliyochagua ina matokeo mabaya.?
Msimbeneshe mtu lawama asizostahili, launi matendo yenu bhana. Nyie kila anaekua raisi kwenu haifai, ajabu huyo raisi akitoka mnakuja tena mnasema eti alikua mtu mwema.
Mbona nyie watu wanafiki sana wazee.? Acheni bhana mambo ya unaa,
Wananishangaza sana hawa watu..Wanadhan apa ni kenya unaenda unajichomea vitu vya watu
Achana nayo hio story ishapitaWananishangaza sana hawa watu..
Walishupaza shingo kwamba eti wamejiandaa kuzuia uchaguzi na kwamba uchaguzi hautafanyika, indeed waliingia barabarani kutekeleza uovu huo, bahati mbaya sana kuna wapumbavu miongoni mwao walichoma hadi vituo vya polisi vyote hapa Dar, ofisi za serikali za mitaa zote, halafu eti walitaka serikali iwazuie kwa kuwabembeleza.. hawa ni watu wapumbavu sana katika hili taifa..
Mashekh kila leo walikua wanawakumbusha kuhusu umuhimu wa amani, kuna wapumbavu wa kanisa fulani wao walijikita kuchochea fujo, na mambo mengi ya uovu mixer kuwatuma watu kuchoma mali za watu fulani kwa chuki tu za kidini.. mafala sana hawa jamaa
Eti leo wanataka serikali iomboleze. 😂😂😂
Duh!mkuu hapo umepotoka,kuna watoto walikufa nao ilikua haki yao?tuipende nchi yetu ila kwenye makosa tusiache coz sababu tu chama au kiongozi unayemkubali,hivi unajua hadi watu wa ccm walikufa siku ile,kwenye kizuri tusifie kwenye ubaya tukemeeAcheni mambo ya upotoshaji nyie bhana, sisi tumeona kwa macho wala sio hadithi .. waliuliwa ilikua ni haki yao kuuwawa, msiitupie lawama serikali kwa matokeo ya matendo yenu maovu nyie. Achani uongo bhana.
Nimeshudia kwa macho vituo vya polisi vidogo vyote Dar vilichomwa, nilishuhudia vijana waliovaa sare za polisi wakijinadi mitaani kuua baadhi yao, nimeshuhudia mali za watu zikichomwa, mali nyingi sana za watu zilichomwa , nimeshudia miondombinu ya umma kuchomwa na miningine kuharibiwa vibaya sana, mlitaka serikali izuie watu wenye dhamira ya kuliangamiza taifa kwa maneno.?glad hawakufika kariakoo siku ile mana wangefika katikati ya mji sijui wangeharibu uchumi wa hili taifa kwa kiwango gani, Nyie vipi nyie vipi nyie.? Msitakueleza mambo kwa chuki zenu tu..
Mnahoji serikali kwa kuwajibika kulinda usalama wa nchi.?
Mbona msihoji walioanzisha mambo ya kuzuia uchaguzi.? Mbona msihoji walio organize kuchoma mali za umma na zile za watu binafsi kwa wivu na husda za kidini.? J
Je wakati mnaanza hiyo mijadala hatukuwaasa kuwa msifanye hivyo.? Watu wema hawakuwakataza kwamba hiyo njia mliyochagua ina matokeo mabaya.?
Msimbebeshe mtu lawama asizostahili, laumuni matendo yenu bhana. Nyie kila anaekua raisi kwenu haifai, ajabu huyo raisi akitoka mnakuja tena mnasema eti alikua mtu mwema.
Mbona nyie watu wanafiki sana wazee.? Acheni bhana mambo ya unaa,