Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unamaanisha watu walisafirishwa kwenda dar kuandamana au mm ndo sikuelewi
Ndio hivyo watu walisafirishwa kuja Dar, watu wengi sana walisafirishwa kutoka hiyo mikoa kuja Dar, I personally know a lot of them.. ukiskia maeneo yalichomwa hakuna hata eneo moja ambalo lilichomwa na wenyeji wa hapo I mean kwenye hicho kitongoji au mtaa uliochomwa..
 
Utambuzi hautaki emotions.
Unatakiwa uokote data as many as possible from kila kona.

Sasa kumuweka mtu kwenye ignore list ni dhahiri kuwa tayari wewe umesha-arrive kwenye conclusion yako na kitu or vitu pekee unataka sikia ni vile vinavyoendana na your conclusion.

A critical thinker ni lazima awe rational na to be rational ni lazima uwe bold enough to voluntarily suspend disbelieve uweze kusikiliza na kuexamine upande mwingine.

Huna sababu za msingi kumuweka mwingine kwenye ignore list.

Ni hayo tu.
Huna sababu za msingi kumuweka mwingine kwenye ignore list.
Sina muda na hayo uliyoandika hapo juu. Nikiona mtu hana content naweka pembeni.

JF founder na waendeshaji waleweka ignore option kwasababu wameona kuna sababu za msingi kuwepo na kutumia.
 


tanzagiza bhana maneno meeengi lkn hakuna hata mradi 1 ambao umekamilika kwa 100% vs kenya angalau walishakamilisha sgr yao ya mombasa-narobi siku nyiiiingi na wako kimya, tanzagiza hiyo central line bado mbaali hata 50% ya mradi haijakamilika sasa hivi tayari wameshadakia sijui lobito na tazara wtf? wakati klm kuna reli inayounganisha na bandari ya tanga-klm/arusha ilipaswa ifike mpaka kanda ya ziwa pia lkn tayari wanakimbilia sijui angola.

ogopa sana sana mtu ambaye anoongea ongea sana mara nyingi huwa hamna kitu ni hewa tu, malizeni kwanza kitu 1, treni itembee dar-kgm/mwanza kama ilivyokuwa zamani ndiyo muanze na miradi mingine ...
 
tanzagiza bhana maneno meeengi lkn hakuna hata mradi 1 ambao umekamilika kwa 100% vs kenya angalau walishakamilisha sgr yao ya mombasa-narobi siku nyiiiingi na wako kimya, tanzagiza hiyo central line bado mbaali hata 50% ya mradi haijakamilika sasa hivi tayari wameshadakia sijui lobito na tazara wtf? wakati klm kuna reli inaunganisha na bandari ya tanga iliapswa pia kujengwa kwanza lkn wanakimbilia sijui angola.

ogopa sana sana mtu ambaye anoongea ongea sana mara nyingi huwa hamna kitu ni hewa tu ...
Kwani Mombasa Nairobi ina urefu gani?
 
Kwani Mombasa Nairobi ina urefu gani?

haijalishi ni urefu gani na nimelijumuisha hilo kwenye reasoning yangu, haiwezekani kufanya miradi mingi mikubwa kwa wakati 1, kwa nini tusiwekeze rasili mali zote kwenye mradi mmoja mpaka mwisho i.e uishe kwa 100% halafu ndiyo tuanze na mwingine mkubwa tena? ndivyo hata wakoloni walivyojenga reli hawakujenga zote kwa mara moja walianza na ya tanga-moshi/arusha baada ya kukamilika wakahamia reli ya kati i.e kuunganisha dar na interior na ndiyo maana iliitwa central line dar-kgm/mwanza, baadaye ikaja reli iliyounganisha nachingwea na bandari ya mtwara na kulikuwa na mpango wa kuunganisha mbaba bay na bandari ya mtwara (mtwara corridor) lkn hii yote ni mipango ambayo inakwenda kwa awamu, kwamba unafanya mradi 1 unaukamilisha unavuta pumzi unafanya tathmini and then unaanza mwingine, sasa tanzagiza miradi mikubwa kila mahali kila siku unatangazwa mradi mpya na hakuna hata 1 unaokamilika, wanapata wapi muda wa kufanya tathmini ya mradi kama hata was worth it? kwa sababu siyo kila mradi una tija na ndiyo maana kuna msemo white elephant project.

ukiangalia kenya wanafanya tofauti kwa maoni yangu, miradi yao inakaamilika ukiangalia highway systems ni kama zimekamilika and then ndiyo wanaanzisha mradi mwingine mkubwa i might wrong kwa maana naangalia kwa jicho la nje labda wakenya wao wenyewe wanaweza kuona tofuaiti lkn nafikiri angalau wana mpangilio kidogo ...
 
haijalishi ni urefu gani na nimelijumuisha hilo kwenye reasoning yangu, haiwezekani kufanya miradi mingi mikubwa kwa wakati 1, kwa nini tusiwekeze rasili mali zote kwenye mradi mmoja mpaka mwisho i.e uishe kwa 100% halafu ndiyo tuanze na mwingine mkubwa tena? ndivyo hata wakoloni walivyojenga reli hawakujenga zohte kwa mara moja walianza na ya tanga-moshi/arusha baadaya ulikamilika wakahamia reli ya kati i.e kuunganisha dar na interior na nadiyo maana iliitwa central line dar-kgm/mwanza, baadaye ilikuwa reli iliyounganisha nachingwea na bandari ya mtwara na kulikuwa na mpango wa kuunganisha mbaba baya na bandari ya mtwara (mtwara corridor) lkn hii yote ni mipango ambayo inakwenda kwa awamu, kwamba unafanya mradi 1 unaukamilisha unavuta pumzi then unaanza mwingine, sasa tanzagiza miikubwa kila mahali na hakuna hata 1 unaokamilika saa ngapi wanapata uda wa kufanya tathmini ya mradi kama hata was worth it?.

ukiangalia wanafanya tofauti kwa maoni yangu, miradi yao inakaamilika ukiangalia higways systems ni kama zimekamilika ana then ndiyo wanaanzisha mradi mwingine mkubwa i migh wring kwa maana naangalia kwa jicho la nje labda wakenya wao wenyewe wanweza kuona tofuaiti lkn nafikiri angalau wana mpangilio kidogo ...
Kwani hii inajengwa vipi? Ilianza Dar Moro then ikafika Makutopora. Sasa hivi wako kwenye awamu ya 4 na 5. Dar Dom makes sense. Sasa ulitaka wakitoka Dom wajenge mpaka Makutopora then waanze hapo kuelekea Tabora?
 
Kwani hii inajengwa vipi? Ilianza Dar Moro then ikafika Makutopora. Sasa hivi wako kwenye awamu ya 4 na 5. Dar Dom makes sense. Sasa ulitaka wakitoka Dom wajenge mpaka Makutopora then waanze hapo kuelekea Tabora?

naelewa lkn kwa maoni yangu tulipaswa nguvu zote tuwekeze hapa kwanza tukamilishe huu mradi, treni itoke dar-kgm/mz pmj na cargo bandari kavu isaka zote tukamilishe kwa 100% baada ya hapo tuvute pumzi kufanya tathmini and then kuingia ngwe ya pili ya mradi mkubwa tena, usisahahu hii miradi cost a lot of money ni mikopo ambayo madeni tunadaiwa na riba juu, siyo jambo la kukurupuka na kufanya maamuzi ya kisiasa.

huu mradi wa central line ni mkubwa sana na kwa maoni yangu ulitosha kabisa kuwekeza rasilimali zote kwenye huu mradi kwanza mpaka mwisho, usisahau reli ya kati inajumuisha (au ulipaswa kujumuisha at least) bandari za ziwani pia kote mz na kgm ambapo hizi bandari za ziwani treni ikishusha mzigo unapkiwa kwenye meli na kuvushwa mpaka nchi zinazozunguka maziwa hivyo siyo kazi ndogo.

ndiyo maana unaona hata china kuna kitu waliita 5 year plan system ni kwamba wanapanga ndani ya miaka 5 tutafanya xyz na kukamilisha, and then wanafanya tathmini halafu wanaingia sehemu ya pili second 5 year plan tena thats how you build a country na siyo chaos ya big projects kila siku huku hakuna hata 1 uliokamilika up and running ....
 
Back
Top Bottom