Nilikua sijui kama nabishana na chizi,maku dont skip your mental health pills🖕🖕Kenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.
Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
Best roads unamaanisha nini?Kenya kuna best roads Tanzania nzima sio dar ni hakuna.
Unamaanisha nini, siyo ya uhakika?Sgr train hii ambayo si ya uhakika?
Longest unamaanisha ngapi?Kenya wana longest sgr railways na wanapanua zaidi yetu kufika tu Mwanza inasadikika itafika 2030
Kavimbiwa na njaa uyo 😂😂😂Best roads unamaanisha nini?
Unamaanisha nini, soyo ya uhakika?
Longest unamaanisha ngapi?
Aisee,.unatumia Mirungi, visungura au ndio hukubahatika kuzaliwa na akili?